Search results

  1. Anna Deo

    Mchungaji Mbarikiwa: Kilichokutuma Christina Shusho ni umalaya tu hakuna huduma hapo

    Huyo mbarikiwa ni pschopath tu apuuzwe
  2. Anna Deo

    Ushauri unahitajika: Niko njia panda, kila maamuzi ninayotaka kufanya naona yana athari

    Usipokuwa makini utakufa siku sio zako ! You need to let go and start over .. hiyo nyumba acha Benki wauze hao watoto utapata plan baadae. Huko nje this time kama unaweza kukaa zaidi pls do … Linda moyo wako kuliko chochote
  3. Anna Deo

    NHIF: Tumeona matangazo ya Hospitali zinazositisha huduma, wamekiuka mkataba

    Vituo Mbadala how wakati hizo Ndo almost hospital kubwa zenye huduma za kueleweka 😤😤😤. Huu mgogoro NHIF mnaocreate ni sensitive kuliko chochote kile. Nimesoma hili tangazo ambacho sielewi mliwaza nini wakati mnadraft kitu cha aina hiyo na mmeondoa comment section kwenye page yenu acheni muone...
  4. Anna Deo

    Video: Dada wa Bilionea Msuya aangua kilio Mahakamani baada ya Mke wa Msuya kuachiwa huru

    Kwa ambao tumekuwa tukifuatilia hii kesi from day one lazima tushtuke sana 😭😭😭Sasa nani alimuua Anathe jamani ?? Kwamba hao wameachiwa je muuaji kapatikana??? Ukweli wanaujua wao na Mungu anaona kama ni kweli ila damu ya mtu haipotei! Daah
  5. Anna Deo

    Dkt. Hussein Mwinyi nilikushauri haya kwa ajili ya Usalama wa Zanzibari

    Niliona maulid kitenge kapost juzi Usiku then gafla hazipo tena ! Sikuelewa alichopost ila ni kama conversation kwenye WhatsApp group
  6. Anna Deo

    Waziri anayetumia V8 kuchungia ng'ombe ni nani?

    Shida iko wapi kama amenunua kwa Pesa zake binafsi ,,, The fact kwamba Ana ng’ombe wengi atakuwa na uwezo huo obvious
  7. Anna Deo

    Hatimaye mrithi wa Mwalimu Mwakasege apatikana

    Mmmm better ungesema mwalimu Emmanuel Shemdoe
  8. Anna Deo

    Tuwafahamu Matajiri Maarufu wa mikoani

    Vipi mfikemo??
  9. Anna Deo

    Nimekonda sana, naomba ushauri nifanyaje nirudishe kilo zangu haraka

    +255 69 968 0873 mpigie huyu anasuppliment za weight gain
  10. Anna Deo

    Ukweli wa Ajali ya bus la Mkombe luxury hiki ndicho kilichotokea, Ukweli utatuweka huru

    Duh mitungi na tumbaku kwenye gari ? Why wanaruhusu hivyo vitu kufanyika kwenye gari ? Hiyo safari ya muda mrefu hivyo ni vzr mmiliki kuwa na security guy just incase kucontrol mambo ya ulevi kwenye gari . Wapumzike kwa amani
  11. Anna Deo

    Wenye uzoefu wa maumivu ya mapenzi tusaidiane

    Jufunze kujipenda wewe kabla ya mtu mwingine ! Hapo anataka kukutumia tu coz yuko out of option ! Usiamini binadamu hutokaa uumie!
  12. Anna Deo

    Waraka wa wazi kwa Waziri wa Ardhi Jerry Silaa

    Ni huzuni 😭😭
Back
Top Bottom