Search results

1. M

sio jokes,

za taratibu mkuu!
2. M

sio jokes,

habar za mchana wadau? Naomba anayejua nyimbo nzur za taratibu anipe majina hizo nyimbo na walio ziimba! Thankx, have a nice day!
3. M

Miziki ya kibongo

Habari zenu wakubwa.Anayejua website za ku dowld nyimbo za kibongo naomba anisaidie!Mchana mwema.
4. M

website

eti wana jf wapi ninaweza ku dwld kwaya za tz.kwa anayejua hiyo site anisaidie tafadhali!
5. M

mpare bahili

utani gani huo sasa.umefikiriaaa ukaona huo ndio utani sio!
6. M

Mtalii mzungu na mkalimani hotelini

nimeipenda its good.
7. M

Dogo noma huyu

<br duh!!
8. M

Mteja ni Mfalme.

hahaha hiyo kali
9. M

hii kali!!

jamaa kamtumia msela wake msg inayosema hivi:Niko na mchina hapa anabisha eti Tz hamna nyani hebu tuma picha yako ndio ataamini kwel Tz kuna nyani!!
10. M

Eti hii ni kweli!!

dharau sasa hizo!!
11. M

Eti hii ni kweli!!

poa
12. M

Eti hii ni kweli!!

eti wachaga Wamezoea pesa mpaka ukiwauliza saa badala ya kusema kamili wanasema kesh(mfano ukiwauliza ni saa ngapi, kama ni sasaba kamili wanasema sasaba kesh!!
13. M

dogo na ticha class

sikumoja ticha alikua anafundisha kuhusu mbuga za wanyama clas.akawauliza wanafunzi wangapi wangependa kutembelea mbuga za wanyama?wanafunzi wakanyosha vidole isipokua dogo mmoja ticha akamuuliza yule dogo vipi mbona ww hujanyoosha kidole.dogo akamwambia mim mama aliniambia nikitoka shule...
14. M

ili jamaa jinga kweli!!!

mfalme mmoja alitangaza kuwa binti yake anataka kuolewa.hivyo basi atakayetaka kumuoa nilazima avuke mto wenye mamba wengi.basi siku iliyofuatia vijana wakajitokeza kwa wingi.zoezi likaanza.kulikua na baunsa mmoja alikua akiwasukuma wenzake waliwe kwa sababu walikua wengi ili wale mamba wawale...
15. M

mgao wa umeme:waungwana tulonge

tatizo la umeme limekithiri nchini.kwa mtazamo wako hili tatizo limeathiri wananchi kwa kiasi gani?
16. M

umeme wa mgao

huu mgao wa umeme umekua kero sana nchini.kwa mtazamo wako huu mgao una athari kiasi gani kwa wananchi na taifa kwa ujumla.waungwana tulonge!!
17. M

ushuhuda

jamaa moja alikua anatoa ushuhuda kanisani akasema hivi:shetani amenitesa kiseng....,sasa niko na yesu sitaki mambo ya kikum...tena!
18. M

urafiki

hi,nahitaji rafiki wa kike wa kuchat nae.kwa yeyote atakaye tuwasiliani.unaweza kunipata facebook kwa kuandika jina langu(mbatia mnzava)
19. M

ulevi mbaya jaman!!

jamaa mmoja alienda sehemu ya mbali.sikumoja jamaa alikuwa amelewa sana(chakari)akiwa anaelekea nyumbani akakutana na mama mmoja.yule mama akamuuliza hivi wew unamjua mungu?yule mlevi akamjibu hivi:mimi ni mgeni hapa huyo mungu mbona simfahamu!
Back
Top Bottom