ili jamaa jinga kweli!!!

mbatia mnzava

Member
Jul 1, 2011
27
3
mfalme mmoja alitangaza kuwa binti yake anataka kuolewa.hivyo basi atakayetaka kumuoa nilazima avuke mto wenye mamba wengi.basi siku iliyofuatia vijana wakajitokeza kwa wingi.zoezi likaanza.kulikua na baunsa mmoja alikua akiwasukuma wenzake waliwe kwa sababu walikua wengi ili wale mamba wawale ili washibe apite kwa urahisi.alipo msukuma jamaa mmoja kwa bahati nzuri yule jamaa akapita bila kuliwa.mfalme akasitisha zoezi akamtangaza jamaa kashinda.jinsi yule jamaa alivyokuwa mjinga akasema kwa ukali nani kanisukuma.mfalme alipo sikia vile akaamuru zoezi liendelee kwasababu kumbe jamaa alikua amesukumwa hajapita kwa hiari yake!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom