Search results

  1. M

    Mh! Kwa hii sidhani kama ni sahihi

    Sijafumaniwa mwee! Mnatamani sana nigongwe red card? Nilichokuwa nakifanya jana ni reseach, na message nilizokuta ni za mabinti ambao walikuwa sample ya utafiti bila wao wenyewe kujua.
  2. M

    Mh! Kwa hii sidhani kama ni sahihi

    Juzi asubuhi nikiwa nyumbani mke wangu alikuja nyumbani huku ameshika gazeti moja la kampuni maarufu kwa kuchapa magazeti ya udaku. Nilimwomba nilitazame(ingawa mimi sio msomaji wa magazeti ya aina hiyo).nilishangaa nilipokuta ukurasa mmoja watu wanatafuta wachumba huku wakiweka gazetini namba...
  3. M

    Mabinti wenye kutaka ndoa serious. Nahitaji mke tafadhali

    Poa kaka! Ucjal! Nitajitambulisha nukta chache zijazo. Kwani wote wajiitao daktari wana phd? Au taaluma zao? Hiyo akili kichwani swahiba.
  4. M

    Mabinti wenye kutaka ndoa serious. Nahitaji mke tafadhali

    Mimi ni mkaka wa miaka 25. Nahitaji mchumba ambaye baadaye ataitwa mama wa watoto wangu. Sifa za mwanamke ninayemuhitaji ni mwenye umri kati ya miaka 19 hadi 27, mpole kiasi, elimu ni cheti/stashahada/form 1V/form V1, awe tayari kufahamiana(face to face) ndani ya...
Back
Top Bottom