Mabinti wenye kutaka ndoa serious. Nahitaji mke tafadhali

Mwl.ngonyani

New Member
Jun 26, 2011
4
0
Mimi ni mkaka wa miaka 25. Nahitaji mchumba ambaye baadaye ataitwa mama wa watoto wangu. Sifa za mwanamke ninayemuhitaji ni mwenye umri kati ya miaka 19 hadi 27, mpole kiasi, elimu ni cheti/stashahada/form 1V/form V1, awe tayari kufahamiana(face to face) ndani ya siku 45, dini yoyote. Kwa walio tayari tafadhali wanitumie email, ngonyanishukuru@yahoo.com, muhimu ni kunipatia profile yako huku ukinipatia namba za simu na location ulipo. I NEED ONLY THOSE WHO ARE SERIOUS PLEASEEEE!!!!!
 
mawindo mema mwalimu...angalia usijekumbana na wanafunzi wako humu.
halafu ukipitia kwenye jukwaa la utambulisho ni vyema mkuu...ni utaratibu wageni kupiga hodi na kukaribishwa.
kuna watu wema sana hapa.
 
Poa kaka! Ucjal! Nitajitambulisha nukta chache zijazo. Kwani wote wajiitao daktari wana phd? Au taaluma zao? Hiyo akili kichwani swahiba.
 
umenikumbusha enzi hizo wakati ambapo mwalimu alikuwa na sifa nzuri na role model kwenye jamii! kila la kheri mwalimu, ila hapo kwenye 19 yrs old,si utakua fataki? ni wazo tu,lisikusumbue.
 
Kila la kheri mwalimu,
Ila ningeshauri utafute huko mtaani kwenu kwani mambo ya kwenye mitandao ni magumu wengi ni mataperi,
Ni ushauri kwa mtazamo wangu ukiona unafaa unaweza ukautekeleza
 
Unasema dini yoyote? We dini gani? Dah hebu ngoja nisijeitwa mdini bure. Halafu miaka 25 ndo unahaha hadi kwenye mitandao kutafuta mke? Ahii, sijui labda ndo hivyo. Kila heri....
 
Nina miaka 24 - 27

nimesoma hadi diploma ya walimu

ni mpole kiasi

sina dini by the way

niko tayari kuonana nawe leo

naona nina vigezo

Swali kazi unaweza lakini mana hujagusia.
 
Nina miaka 24 - 27nimesoma hadi diploma ya walimuni mpole kiasisina dini by the wayniko tayari kuonana nawe leonaona nina vigezoSwali kazi unaweza lakini mana hujagusia.
yule jamaa ushaamua kumbwaga mazima?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom