Search results

  1. A

    Hotuba ya Rais Kikwete 30.6.2012

    Nimesikitika sana kama kweli hukutaka raisi aongelee suala la madaktari.....sijui ulitaka kusikia nini? eti unasema kuhusu sheria za bunge.....hizo sheria zipo ili kumsaida spika aongoze bunge...WACHAGA BANAAAA!!!!! Any way karibu jf naona umejiunga jana
  2. A

    Nampima lowassa kwa uchaguzi arumeru

    Kama Mtz yeyeto yule naweza kutumia kigezo chochote kile katika kumkubali kiongozi mmja kati ya wanaotajwa na jamii kuweza kupewa nafasi ya kuongoza.Naomba kuweka wazi kuwa nasukumwa na nafsi yangu kumpima EL kwa matokeo ya leo Arumeru sababu anao uwezo mzuri wa kuongoza lakini ili niwe mfuasi...
  3. A

    Naomba ujibu hili swali..

    Is it possible tukatumia demokrasia yetu kuchagua viongozi wasio na akili timamu?? Kama ndivyo basi sote hatuna akili timamu
  4. A

    Siasa nzito za CHADEMA zaendelea kuimaliza CCM (strategic and scientific politics)

    Usimtaje Mungu kwenye kelele zako za kihuni hizo.Utaishia kushabikia MAWAZIRI VIVULI kazi yao ni fujo na unafiki wa kimasilahi and never shall they think of eradicating poverty in Tanzania and Africa at large.Be a wise thinker "TUMIKA USITUMIKISHWE".
  5. A

    If this is a true solution to "ajira kwa vijana".........

    Kuna mwanasiasa mmoja(EL) husisitiza kuwa njia mbadala ya kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana hapa nchini ni kutumia rasili mali zilizopo kukopa fedha toka nje na kujenga viwanda hatimae kuweza kuwapa vijana ajira.Je kama this is possible kwanini Watz tusichukuwe hatua hii? Au ndo kusema...
  6. A

    Ukimya wa vyombo vya habari na wanasiasa juu ya tuhuma za Lowassa unaweza kutuzindua....

    Yapata cku 10 tangu Ndugu Lowassa aseme kuwa hatovumilia tena kuchafuliwa na wanahabari,wanasiasa.Kilichonisukuma kuleta hoja hii ni UTII wa walengwa wa kauli ya lowassa hasa NAPE na MWANAHALISI.Maswali ya kujiuliza; 1:Je bado majibu kwa lowassa yanaandaliwa? kama ndivyo, tuyategemee lini...
  7. A

    Umaarufu wa wabunge wa CHADEMA wapaa maradufu mitaani

    unasumbuliwa na siasa za ufuasi
  8. A

    CCM kuiba kura Igunga?

    una maana gani kusema "watu wa igunga wana uelewa mdogo???" acha izo mtu wangu hata kama wilaya yetu ina wasomi wachache tusaidieni sio kututusi kwa wewe una elimu gani uropokaji na ujuaji wa chadema hukohuko . STUPID BOy!!!!!!
  9. A

    Dr Slaa vipi siku tatu hazijaisha

    ukweli unaumaa!!!
  10. A

    V.Nyerere akataa kuchangia Mafuta ya Mwenge

    Wazo la mbunge hilo,yaani inashangaza kuwa mbunge anaweza kulihutubia taifa bila kujiandaa sababu anaonyesha kuwa hata hafahamu kuwa takwimu za mwisho wa mwaka jana zinaonyesha kuwa zaidi ya 80% ya walimu wanaofungwa huukumiwa kwa makosa yaliyo kinyume kabisa na taaluma ya ualimu.Je mheshimiwa...
  11. A

    Lowasa Alikuwa Akitoa Tenda za Ujenzi kwa Kampuni za Kuuza Maziwa ya Nido...Hafaiiiiii!!!!

    Inafurahisha sana kuona watu tunavyoelewa mambo kwa sasa yaani hatudanganyiki na hata tukidanyika huwa tunapotezea japo ukweli tunao. il come next time members!
Back
Top Bottom