Ukimya wa vyombo vya habari na wanasiasa juu ya tuhuma za Lowassa unaweza kutuzindua....

ARKADI MAKONA

Member
Jun 25, 2011
14
2
Yapata cku 10 tangu Ndugu Lowassa aseme kuwa hatovumilia tena kuchafuliwa na wanahabari,wanasiasa.Kilichonisukuma kuleta hoja hii ni UTII wa walengwa wa kauli ya lowassa hasa NAPE na MWANAHALISI.Maswali ya kujiuliza; 1:Je bado majibu kwa lowassa yanaandaliwa? kama ndivyo, tuyategemee lini? 2:Wameamua bora yaishe? kama ndivyo,jamii iwaelewe vipi? 3:Kama majibu ya maswali haya yote ni HAPANA,Je nitakuwa sahihi kusema kuwa ukimya huu maana yake ni kuwa Lowassa alishambuliwa kwa masilahi ya wanasiasa na wanahabari hawa kama alivyodai?? NAOMBA KUWASILISHA.
 
Kumbe majibu unayo, au kamuulize mzee six atakwambia vizuri, lete mada mpya hiyo iko outdated sana
 
Nafikiri amejibiwa na wenzake wiki hii (sitta j3 hii)..inabidi huyu mkuu aongee cha maana....nafikiri mawaziri wakuu waliostaafu kiukweli wameongea cha maana kitaifa na kichama kuliko our public newly crowned CAPTAIN wa jeshi Mh E.L (kweli anatapa tapa na jinsi ya kujiuza kwa wanyonge)
 
Back
Top Bottom