Search results

  1. J

    Tanzania: Energy Efficiency in Buildings

    Hapa kuna mambo ya msingi ya kuzingatia ndugu zangu, tunaweza kufika kwenye sustainable architecture kama bodi na manispaa zetu zingeweka viwango kuwa ni nyumba inayopitishwa kujengwa inapunguza kwa asilimia ngapi matumizi ya umeme ( energy). wenzetu wana aina za nyumba wanaziita passivhaus more...
  2. J

    Ushauri juu ya masomo architecture na ajira yake Tanzania

    Ndugu yangu, this is what is called mother professional. Kama umepata nafasi hiyo fanya kwa juhudi na hutojutia i promise.
  3. J

    Natafuta kazi/internship property and facilities management

    Hii kozi yako ni nzuri sana inahitajika sana lakini bado kwa nchi yetu haijapewa kipao mbele, unachotakiwa ni kutokata tamaa na kuendelee kutafuta kazi ila wewe ni mtu muhimu sana for innovations of properties and facillities. all the best .............you can try UDOM i think watakuhitaji sana...
  4. J

    Mungu anajibu maombi,shemeji yenu kanichumbia

    Hongera sana, kwa hatua nzuri, ukimtumaini Mungu hakika hatakuacha, endelea kusimama kwenye maombi kwani kwa kutangaza hilo shetani umemtangazia vita. nimependa ujumbe wako na wengi wamekupongeza na mm nakupongeza na kukuombea. Mungu akuinue na kukutunza. Ukipenda unisaidie kubalisha avatar...
  5. J

    Jameni hebu sijui lakufanya ushari PLZ

    Mkuu pole kwa kifupi tu tumia muda uliopo kumuacha apooze hasira yake, najua unapenda kumsikia nn maoni yake lakini haitasaidia kwa sasa. akiwa katika hali ya upole na uelewa unaweza kujadili na kuweka mambo sawa. usilichukulie hili jambo kwa hasira mkuu kwani hapo vipau mbele vimetofautiana...
  6. J

    Wabunge wakomaa: Ngeleja, Jairo watakiwa kuondoka; Pinda ataka mjadala uahirishwe kwa siku 21

    Mkuu asante kwa riport,endelea kutupa update......cheers
  7. J

    Ni mke wa mtu, ni mzuri, ANANITAKA nifanyeje?

    My brother Elia , kwanza potezea kabisa huo msaada kaka, badilisha ratiba yako ya kutoka ofisini na hata nyumbani kukwepa hii hali jitahidi kadri uwezavyo kuikimbia hii hali, nasema hivyo kwa sababu future yako yaweza badilika kwa siku moja tu. mke wa mtu epuka si wanadamu wote watakuwa na kikao...
  8. J

    Majibu ya mawaziri wa serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania dhidi ya kero za wananchi

    Kwa haya majibu, ukweli ni kwamba hamna matumaini katika utendaji wa jambo lolote.
Back
Top Bottom