Search results

  1. A

    Binti mashalah, anayepinga akaapeal kwa MUNGU!

    Yuko vizuri aisee,namkubali
  2. A

    Ray C: TID ndo alinifundisha kuvuta UNGA!

    :majani7:T.I.D alikuwa nani yake hadi akafikia hatua hiyo?
  3. A

    Ni kweli lord eyes mwizi??

    A na B yote ni sawa,inaweza kuwa kweli or jumba bovu limemuangukia,tusubiri maamuz ya mahakama tuone:confused:
  4. A

    Common Interview Questions and how to answer them

    Thanx much,umenifumbua macho
  5. A

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Nimeamini kwny msafara wa mamba kenge hawakosekani.HUNA AKILI hata kidogo
  6. A

    Kumbe St. Augustine University of Tanzania (SAUT) ni moto wa kuotea mbali

    Nimegundua kwamba UDOM ni maarufu na iko juu kwa sasa ndio maana hamchoki kuizungumzia.
  7. A

    Battery low!

    hahaha hiyo kali
  8. A

    Wapi ntapata shaver ya kunyolea ndevu?

    Mav*zi yako yamekushinda ndo utayaweza ya mwenzako?
  9. A

    Nina miaka 30 bado bikira, naomba ushauri

    Inamaana muda wote huo ulikuwa unajivinjari na PULI mkuu?Basi kaka we ni kingunge
  10. A

    Wana JF nisaidieni, jogoo langu limekuwa kero kwa wanawake

    wewe mbona umekazania hvyo,au ndo una shimo kubwa unataka kujisevia hiyo ndonga ya omben?
  11. A

    JF Freestyle battle special thread

    Nashangaa unajiita gucci wakati hauna 'mane',Gucci na mwabaluh ngoja sasa niwachane,Acheni kunidiss au mnataka tuchapane?,mnanitia hasira au mnataka niwatukane?,hamniwez kwa lolote hata mkija wanane,km vp mjisalimishe tuungane tupatane,.....
  12. A

    JF Freestyle battle special thread

    mwabaluh we mchovu mi simba we chui,mistar yako imekosa nyama ka miguu ya buibui,we kwangu ni kama mtoto kwa mama yaan hakui,simaanishi kwamba hujui,ila me ni kubwa lako ka ni kombe huchukui,mistar yangu inaladha zaid ya la nazi tui,halafu cha ajabu unajifanya hunijui,...
  13. A

    Clouds FM na skendo ya ngono na wasanii wa kike

    kuna mtoto mpya yule anaitwa Rachel sahv anapewa promo la kutisha,alivyo mkali yule lazima wakubwa wamepita
  14. A

    JF Freestyle battle special thread

    Acha majigambo bwa mdogo,kwa freestyle am sure huniwez hata kdogo,ntakupa stress upate hasira ka za mbogo,huniwez kwa lolote we chogo,unachonisha wewe labda ku2pia mikorogo,....
Back
Top Bottom