Search results

  1. Y

    Nguruwe ni mojawapo kati ya wanyama HAYAWANI?

    Kwake mbona anaona sawa tu, usikute hata nguruwe humwona binadam hayawani Acha kiumbe aishi maisha yake
  2. Y

    Nguruwe ni mojawapo kati ya wanyama HAYAWANI?

    Mbona waafrika wengi hawatofautiani na huyo mwamba, tena wengine huongoza hadi nchi Nguruwe apewe heshima yake
  3. Y

    Mbunge wa CCM apendekeza Vyuo Vikuu vianze kutoa Nusu Degree kwa Wanafunzi wanaoishia njiani

    Wanaishi uhalisia, na wanaonekana kua na utimamu wa akili kuliko wanaojinasibu kua wasomi Unadhani wasomi wameivusha nchi ukilinganisha na enzi za akina MKWAWA?
  4. Y

    Mbunge wa CCM apendekeza Vyuo Vikuu vianze kutoa Nusu Degree kwa Wanafunzi wanaoishia njiani

    Atleast kaongea hoja though hakua na uwezo wa kuifafanua kama ulivofanya wew, hii ni kwakua anapungukiwa vitu flani vya kitaaluma Hoja yake ni mhimu kufanyiwa kazi
  5. Y

    Uliyeoa/kuolewa: Je, unaweza kubadilishana simu na huyo mwenza wako japo kutwa moja tu?

    Mfumo wangu wa maisha hauruhusu simu yangu iwe mbali na mim, Me mfanya biashara kpitia sim
  6. Y

    Rais Samia anayepingwa kwa uzanzibari wake ndiye amefanya makubwa kuliko hao Marais wa Tanganyika

    Uuze bandari , asilimia 80 zipotee na asilimia 20 zijenge zahanati afu tuendelee kumpa sifa? Huna akili boss
  7. Y

    Wazanzibari ni raia daraja la kwanza katika JMT

    Mda wowote wanaweza porwa ardhi hizo, kisheria ni wavamizi
  8. Y

    Ni nani wa kujibu hoja za Tundu Lissu?

    Zuzu ni alieandaa katiba au anaeona kupingana na katiba ni ujanja
  9. Y

    Ni nani wa kujibu hoja za Tundu Lissu?

    Sio kama, ni layman fulltime
  10. Y

    Ni nani wa kujibu hoja za Tundu Lissu?

    Walioandaa michakato hawakua na elimu fikiria
  11. Y

    Ibrahim Traore, Rais kijana, alovuviwa Roho ya Hayati Magufuli, anayepaswa kuigwa na Vijana wa Tanzania. Burkina Faso sasa inachanua

    Wapo walioamuua kutokuukubali ukweli hata kiwekwe kisu shingoni Umeelez kwa kifupi asili ya maendeleo kwa Afrika yetu
  12. Y

    Kuna video inasambaa mitandaoni, kiingereza kwa Watanzania wengi ni shida sana!!

    Watanzania wana mambo ya ajabu, yaani badala ya kuona aibu kama taifa kwanin tuendelee kuwa watumwa kwa kukifanya kingereza kituendeshe , wanaona aibu kwa matokeo ya watanzania wenzao kuteseka na mfumo wa hiyo lugha.
  13. Y

    Shilingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi kubwa

    Unapinga hoja ya mwandishi au unasapot, kwa akili yako ya kawaida unahisi kuna tofauti kati ya 1500 na 1800?
  14. Y

    Nani yuko nyuma ya Lissu kwenye hizi chuki wanaoneza kuhusu Uzanzibari na Utanganyika?

    Yeye kanukuu katiba, kosa lake ni kuelezea uzuri wa katiba ya zanzibari kwa watanganyika wasiojiita watanganyika?
  15. Y

    Nini kilikufanya ukaacha kwenda kuabudu kwenye nyumba ya ibada?

    Nlipogundua tu SHETANI WA TANZANIA ANA NGUVU KULIKO MUNGU WA TANZANIA nkaona nilale mbele
  16. Y

    Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!

    Lakin pia ndio icon wa karne hii Biden pia anaua sana wapalestina kwa interest ya marekani sijui naeleweka?
  17. Y

    Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

    Wanawake siku zote ni watu wa kukurupuka, baadae litajifanya limepitiwa mazafanta...
  18. Y

    Mkuu wa Mkoa Arusha Paul Makonda: Kiongozi Mzima Kujieleza Hujui, Mnapataje Hizi Nafasi TARURA?

    Mbona we mtu mzima lakin hujui hitaji lako hasa ktoka kwa kiongozi ?
Back
Top Bottom