Search results

  1. S

    Jipatie Nissan X Trail SUV kwa bei chee

    Hiyo gari ishauzwa! Ilitangazwa sana kwenye media nyingine kwa 10m.
  2. S

    Waraka: Shule 11 za Serikali Hazitahusika na Utoaji wa Elimu Bure

    Huo waraka aliyenao atuwekee hapa
  3. S

    Msaada kuhusu tecno phantom z mini

    Tecno Phantom Z haina external memory. Swip home screen kuna option mbili "Notifications na "switch" nenda switch na zima "low power" na "ultra power". Hii simu pia inawaka taratibu. Ikisumbua zaidi screen shot alf nitumie whatsapp km itawezekana nione inavyoonesha. Kwa msaada zaidi 0717008771
  4. S

    Utafiti: Kwanini walimu wamefika hapa walipo leo

    Huu utafiti una ukweli ndani yake. Lakini mleta mada amekuwa "too general" hajasema amehoji walimu wa kada gani! Je ni chekechea, shule za msingi, sekondari au vyuo vya ualimu? Mimi naamini sio walimu wote ni wanyonge kiasi hicho. Hata mifumo ya nchi, serikali yetu, Sera ya elimu na mambo kadha...
  5. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo LUSHOTO nije KOROGWE, MUHEZA au TANGA MJI. Elimu Sekondari. 0717008771
  6. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo LUSHOTO nije KOROGWE, MUHEZA au TANGA MJI. Elimu Sekondari. 0717008771
  7. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo LUSHOTO nije KOROGWE, MUHEZA au TANGA MJI. Elimu Sekondari. 0717008771
  8. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    UTARATIBU WA UHAMISHO KWA WATUMISHI WA UMMA Imetolewa na Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa. 1. Mamlaka za Uhamisho Kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na 8. ya mwaka 2002 ikisomwa na Kanuni zake pamoja na Taratibu za Uendeshaji za mwaka 2003 Mamlaka ya...
  9. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo LUSHOTO, nije Korogwe, Muheza, Tanga mji. Idara ya Elimu Sekondari 0717008771
  10. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo LUSHOTO, nije Korogwe, Muheza, Tanga mji. Idara ya Elimu Sekondari 0717008771
  11. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo LUSHOTO, nije Korogwe, Muheza, Tanga mj, Moro, Dom etc nikipenda. Idara ya Elimu Sekondari 0717008771
  12. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo LUSHOTO, nije Korogwe, Muheza, Moro, Dom etc nikipenda. Idara ya Elimu Sekondari 0717008771
  13. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo LUSHOTO, nije Korogwe, Muheza, Moro, Dom etc nikipenda. Idara ya Elimu Sekondari 0717008771
  14. S

    Sababu zaku pata uhamisho.

    Sababu unazoweza kutoa ni pamoja na ugonjwa lakini uwe na vyeti vya daktari. Hiyo ndo ya msingi zaidi.
  15. S

    Kazi ya usimamizi wa Uchaguzi Kinondoni

    Posho mwazijua??
  16. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Km upo interested njoo Lushoto. 0683436242/0717008771
  17. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Lushoto Nije Kati Ya Korogwe, Muheza, Tanga Mji,Kibaha, Dar, Moshi Manispaa Au Dodoma Manispaa. Idara Ya Elimu Sekondari. 0717008771/0683436242
Back
Top Bottom