Search results

  1. B

    je unywaji wa pombe kali(spirits) unasaidia kupunguza mwili(unene)

    Inapunguza lakin sio unakunywa konyagi na minyama,chipsi na vyakula vngne vnanavyopelekea kuongeza mwili. Sana sana utakaanga maini na koo. Diet nzur,nia ya kupungua plus icho kinywaji vnaweza kukusaidia.
  2. B

    Idara ya uhamiaji na mabadiliko ya baraza la mawaziri

    Jicho lako limeona mbali na pia umegusa sehemu kubwa.
  3. B

    Leo Wakuu ni Kufunguka Kuhusu Wahaya Unavyowajua!

    Ntafutie mchumba wa kihaya bas!
  4. B

    Job opportunity plz

    samahani kwani bangi ina mtuma mtu kuwaza,kuandika au kusema kile ambacho we wadhani hakifai katika jamii.Je,kosa la huyo kijana liko wapi na ian kuaje bangi inatajwa hapo ? unauhakika na ulichokiandika ? Kuna uhusiano kati ya wewe na bangi kwa undani zaidi ?
  5. B

    Simuelewi ?

    Wana JF...naomba mnisaidie my boy yuko mbali na ninapoishi,yupo busy sana,mawasiliano hafifu mpk nimtafute bt anashow km he loves me. Cmsumbui na v2 vngne zaidi yakumsisitizia ukaribu.cna imani km ana m2 mwingine.Nishaurini nifanye nin ?
  6. B

    Long Distance Relationship: Raha, kero na jinsi ya kutunza mahusiano

    Habari wapendwa..! Jamani katika fikra zenu kuna uhusiano wa mbali. Yaani uwe na mpenzi mbali na unako ishi ? na je utaweza vipi kukabiliana na swala la ukaribu ?
  7. B

    Unene

    Yeah! Iyo nakubali huwa natembea mara kwa mara kwa mguu.Nashukuru sana!
  8. B

    Unene

    Asante sana...lakin pombe kali nasikia inapunguzisha unene na pia sigara,je hlo ni sahihi ?
  9. B

    Unene

    Duuh! Nashukuru ntajitahid juu ya hlo.Kinachonishangaza tumbo si kubwa ila maziwa nayo hunenepa pia na hupungua?
  10. B

    Unene

    Duuh! Nashukuru ntajitahid juu ya hlo.
  11. B

    Unene

    <br /> <br / daah! Kwa hilo upo sawa kabisa yaan....lakn maji ya moto,konyagi ol grants bla nyama choma znapunguza mwil kweli ? Afu ninatembeaga mwendo mrefu mf.toka kkoo up to tazara.
  12. B

    Unene

    Habari,naomba nisaidiwe juu ya namna yakupunguza unene.
Back
Top Bottom