Search results

  1. Mugizi1

    Malalamiko ya Makato ya Deni la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) Mwezi Juni, 2021

    Kwangu deni limepungua tsh19 tu lakini wamekata zaidi ya tsh180k. Huu ni uhuni!
  2. Mugizi1

    TANZIA Profesa Peter Msaki afariki Dunia

    Ingia kwenye www.researchgate.net utamkuta.
  3. Mugizi1

    TANZIA Profesa Peter Msaki afariki Dunia

    Tatizo ukisikia nuclear physics unawaza mabomu tu. Nuclear physics ni dhana pana sana. Kwenye kilimo, tiba, nishati mpaka kwenye hayo mabomu.
  4. Mugizi1

    Nifikishie ujumbe huu kwa Askofu Dr Bagonza. Askofu wa Dayosisi ya Karagwe

    Askofu Bagonza hajawahi kuwa askofu wa jimbo la Rulenge. Unachokiandika nadhani hukijui
  5. Mugizi1

    Somo la Physics, Chemistry Mazengo Secondary

    Tandike alikuwa na porojo sana
  6. Mugizi1

    Kiswahili gets minister's stamp to be taught in SA schools

    kwa uandishi wa hivi inabidi uingie darasani ujifunze kuandika kiswahili
  7. Mugizi1

    TANESCO: Tunakanusha tatizo katika mfumo wa manunuzi ya LUKU

    Tunaomba majibu.kwa nini hakuna huduma za kununua umeme kwa njia ya mpesa tangia jana?
  8. Mugizi1

    TANESCO: Tunakanusha tatizo katika mfumo wa manunuzi ya LUKU

    Hawa jamaa waongo sana.Tangia jana nanunua umeme bila mafanikio
  9. Mugizi1

    Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

    Nadhani wewe ndio una low IQ. Mtoa mada ameongelea mambo mengi hili unalolisema likiwa mojawapo. Wewe umechagua kushupalia hapo maana ndio umepaelewa, mambo mengine aliyoyaongelea yamekuzidi upeo.Kwa hiyo usiwe na wivu ndugu yangu kama hujaelewa hayo mengine.Wajinga watadharau waelevu watatoka...
  10. Mugizi1

    Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

    Ukitaka kujua Tanzania bado sana,angalia comment za humu.Nazungumzia wale wa -ve comment.mtu kaweka reference lakini unakuta mtu bado anakomaza shingo kwamba haiwezekani.Na huo ndio mtazamo wa jamii ya walio wengi.Tukija kuzinduka tutakuwa tumeshapotea.
  11. Mugizi1

    RC Dar apiga marufuku watendaji walio chini yake kusafiri nje ya jiji bila kibali chake

    Huu ni ubashite kiwango cha phd.kwa hiyo mtu akitaka kwenda kibaha mail moja au bagamoyo aombe kibali kwa bashite. Kwa kweli ni fedheha kuongozwa na watu wa namna hii. Yaani eti bashite ndo think tank ya mkuu wa kaya na nchi. Hatari sana
  12. Mugizi1

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo aagiza Waziri Mkuu mstaafu Sumaye akamatwe na polisi popote alipo

    Hivi hawa viongozi wa hivi mkulu kawatoa wapi. Ila hayo mambo ya hivyo anayapenda kweli, na unaweza kushangaa anapandishw cheo kuwa RC. Chuki kama hizi zinahatarisha usalama wa nchi.
  13. Mugizi1

    Anachotafuta Makonda ni laana, anafokea maafisa Elimu

    Kwa hiyo we unaona swala la michezo halistahili pongezi.Yeye ameona bora washindwe pote kwenye taaluma na michezo,kwa maana wasingeshinda asingewaandikisha maelezo. Je muda wote alikuwa wapi,kwa nini asubiri siku ya kupongezana anakuja na haya maigizo ya kiubabe.
  14. Mugizi1

    Anachotafuta Makonda ni laana, anafokea maafisa Elimu

    Muda wote alikuwa wapi? Matokeo ya kidato cha nne yalitoka tangia mwezi wa pili,leo anajua kuna kuwajibishana?au kwa kuwa kipindi hicho alikuwa kwenye vuguvugu la tuhuma za kuiba vyeti.Hivi kwa akili zake anadhani swala la michezo kwenye taaluma ni kitu kidogo kwa hiyo akistahili pongezi.Na hiyo...
  15. Mugizi1

    Chorus 10 bora za muda wote katika bongo flava!!

    Swala la chorus kuwa kali ni subjective.kila mtu atakuja na chorus yake hapa.Lakini kuna hii chorus ambayo nadhani itaendelea kutamba kwa muongo mzima. ACHA WAISOME NAMBA EEEE,WAISOME NAMBAAA,FISIEMU MBELE KWA MBELEEE!
  16. Mugizi1

    Mjadala: Basi kubwa na pikipiki vikitembea vyote kwa 120km/hr nani atatangulia?

    Tatizo wengi humu walikimbia hili somo la fizikia. kama speed meter sio mbovu vyote vitaenda sambamba.hata kama ukinzani (resistance) pamoja msuguano(friction) katika tairi kwa hivi vyombo viwili unatofautiana,chombo kinachokumbana na ukinzani zaidi itabidi kiongeze nguvu(power) zaidi ili...
  17. Mugizi1

    Mjadala: Basi kubwa na pikipiki vikitembea vyote kwa 120km/hr nani atatangulia?

    tatizo watu wanashindwa kutofautisha transilational speed na rotational speed.kama unazungumzia translational speed ya 120km/h,iwe pikipiki au basi vyote vitakuwa sawa hata kama basi lina tairi ya diameter 1m na pikipiki 0.5m. Hii ni sawa na kusema kilo 100 za kokoto na kilo 100 za pamba kipi...
  18. Mugizi1

    Je, ni sahihi kutumia Bibilia ya kwenye simu wakati wa ibada kanisani?

    Wako sawa kabisa,maana simu is just a media kama kilivyo kitabu.zamani biblia ilikuwa kwenye magome ya miti au ngozi.kulingana na maendeleo ya kutokana na maendeleo ya kiteknologia ya uchapaji kwenye karatasi ndo vikaja hivi vitabu kwenye karatasi.kwa hiyo usije shangaa baada ya miaka 50 ijayo...
Back
Top Bottom