Unapo zungumzia nchi zilizokua mstari wa mbele kutaka uhuru wa nchi za kiafrika,hautakosea ukitaja TANZANIA.
Katika nchi za kusini,mashariki na kati mwa AFRIKA,Ilipasa nchi kama tanzania iwe mstari wa mbele katika maswala kama ifuatavyo;
1)kiuchumi,kwasababu tunarasilimali za kila aina...
Nijambo la kuhuzunisha kama siyo kusikitisha,kwa kiongozi aliye aminiwa na wananchi kuwawakilisha katika serikali na kuwatetea,anageuka kuwa mwiba kwa walio mpeleka.
Mh. Mbunge mmoja wa moja ya majimbo mkoani dodoma,anachangia hoja ya bajeti ya wizara ya mambo ya ndani
anadiriki kusema,
polisi...
Ninakunjua jamvi waungwana msogee,tusaidiane kutafakari hili linalo niumiza kichwa,ya mwlm NYERERE nimengi yakujivunia kwa wenye uelewa nawalio shuhudia,hakuna awezaye kuishi chini ya jua asitende dhambi'isipokua masihi wa mungu peke yake nina maanisha hata kama MWALIMU alifanya mazuri kadhalika...
Napanda jukwaani nikikiri kwamba bado ni mchanga humu,naomba mnisaidie hili:nimesikia kauli nyingi zikiongelewa bungeni za kufurahisha na kukarahisha wengine,hivi leo mh. Alima mdee alipoanza kuchangia hoja kuhusu bajeti;namnukuu hatujaja kuuza sura hapa jingine kuwa na manjuka mwisho wa...
Napanda jukwaani nikikiri kwamba bado ni mchanga humu,naomba mnisaidie hili:nimesikia kauli nyingi zikiongelewa bungeni za kufurahisha na kukarahisha wengine,hivi leo mh.
Halima mdee alipoanza kuchangia hoja kuhusu bajeti;namnukuu hatujaja kuuza sura hapa jingine kuwa na manjuka mwisho wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.