Kauli hizi huleta changamoto BUNGENI

Masanyaraz

Member
Jun 10, 2011
41
1
Napanda jukwaani nikikiri kwamba bado ni mchanga humu,naomba mnisaidie hili:nimesikia kauli nyingi zikiongelewa bungeni za kufurahisha na kukarahisha wengine,hivi leo mh. Alima mdee alipoanza kuchangia hoja kuhusu bajeti;namnukuu hatujaja kuuza sura hapa jingine kuwa na manjuka mwisho wa kunukuu,haya sasa maneno hayo yaliwachoma na kuwagusa wengi kiasi kwa mba mh kawawa akaomba mh mdee afute kauli hizo au kuzirekebisga,lakini kilichotokea alifafanua tu maana ya maneno hayo,nimetafakari binafsi sijapata jibu ndo maana nimelileta kwenu waungwana mnifungue ubongo.
 
Mimi nafikiri Halima alilenga kufikisha ujumbe kwa bi-kiroboto kwamba wao wapo kikazi zaidi na sio show off, pia sio wageni kwenye kanuni za bunge kama yeye bi-kiroboto na mbinu zake za kuwakandamiza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom