Search results

  1. J

    Chemsha bongo: Shilingi 100 iko wapi?

    naona ndugu zangu maji shingoni!
  2. J

    Kwa waliosoma bcom tu.

    we si ndo ulikuwa unasema una module E ya NBAA? ilikuwaje?
  3. J

    Nisaidieni kwa hili jamani

    Unataka kwenda kununua nguo dukani, nguo inauzwa shilingi 10,000, huna pesa kwa wakati huo so unaamua kukopa 5,000 kwa dada na 5,000 kwa kaka. unapoenda dukani unakuta nguo inauzwa 9,700 so unarudishiwa 300. unaamua kupunguza deni, unampa kaka shilingi 100 na dada 100 na wewe unabaki na 100. kwa...
  4. J

    Kwa waliosoma bcom tu.

    3.5 inasoma senetor? kama hapana, jipange! Nyinyi mnaonaga UD ndo mko peke yenu duniani. ile last interview ya tra watu wa mlimani walikuwa sita tu! mana requirement ilikuwa ni upper second, watoto wa CBE na IFM na Tumaini walikuwa nyomi! ha ha ha ha poor senetor, utashangaa kukuta mtoto wa CBE...
  5. J

    Chemsha bongo: Shilingi 100 iko wapi?

    Unataka kwenda kununua nguo dukani, nguo inauzwa shilingi 10,000, huna pesa kwa wakati huo so unaamua kukopa 5,000 kwa dada na 5,000 kwa kaka. unapoenda dukani unakuta nguo inauzwa 9,700 so unarudishiwa 300. unaamua kupunguza deni, unampa kaka shilingi 100 na dada 100 na wewe unabaki na 100. kwa...
  6. J

    Kwa waliosoma bcom tu.

    Matokeo yako so far yakoje?
  7. J

    Kwa wote waliosoma accounting na project management nafasi ya kazi kwa mkataba wa mwaka 1

    We endelea kujifanya mjanja, subiria info hapo hapo! wa tz bana?
  8. J

    Pornography & our marriages!

    Naona hapa mnanipotezea muda, ngoja nikamwangalie Natalia Cruze au Alexias Love..........! mwenye simu kama mimi anaweza kucheck phoneerotical
  9. J

    Enyi Wanaume...Kitu Gani Kinakuvutia Zaidi kwa Wanawake????

    nina experience nao hawa watu, nilianza na warefu ila siku moja jamaa akaniambia nijaribu mfupi, weh! ndo nikaona utamu sijawahi ona, hadi leo mimi na wafupi tu. We umewahi kuona mtu mrefu ana mikono mifupi au vidole vifupi au mguu mfupi? mwili unakua kwa proportional ndugu yake, so hata ile...
  10. J

    Enyi Wanaume...Kitu Gani Kinakuvutia Zaidi kwa Wanawake????

    Mi napenda kamtungi(kasichana kafupi), ni tutamu balaa! warefu ni good looking ila hutamu hakuna kitu. mwanadamu anakua kila kiungo cha mwili kwa usawa, mrefu tegemea m-bwawa hasa! hujui uko nani au nje! Tufupi ndo mpango mzima! warefu tupa kule!
  11. J

    Nafasi za Kazi TANAPA

    Hacha tabia zako, you are incompetent! Kama husipopata wewe ndo wamechakachua? Your loss is someones gain!
  12. J

    Nina ADA, CPA(T) na Masters in Accounting and Finance lakini sina kazi zaidi ya mwaka sasa!

    Jamani si post yake iko wazi? kasema ameenda masters sawa, lakini yeye alichokuwa anasisitiza ni kuwa ana mwaka tangu apate CPA na si tangu apate masters. Mana aliweka wazi kuwa masters keshamaliza course work bado desertation sa mwaka kaumalizaje na masters. Kwa maelezo yake atakuwa amegraduate...
  13. J

    Nina ADA, CPA(T) na Masters in Accounting and Finance lakini sina kazi zaidi ya mwaka sasa!

    Aisee...! Tunakutakia kila la kheri ndugu yetu kikomelo. Nimeku PM mana naitaji ushauri kutoka kwako. Kweli nimeamini kuwa jembe halimtupi mkulima!
  14. J

    Nina ADA, CPA(T) na Masters in Accounting and Finance lakini sina kazi zaidi ya mwaka sasa!

    Duh! we umemkatisha tamaa mwana! yaani hata probation period hatomaliza? Mbona nimeona vijana wenye hizo qualification kama za huyo kaka wanapata kazi na wanafanya vizuri tu? Tusipende kuwashusha watu bwana!
  15. J

    Best movies

    Mi hata ukifika mwaka gani, kichwani mwangu sijaona movie ya kuzi-replace hizi hapa 1. Apocalypto 2.Troy 3.Gradietor 4.Merlin 5.Avator. Napenda sana Adventure movies aisee.
  16. J

    Nashindwa kumwoa kwa sababu ya mtoto

    ila ki ukweli kuoa mwanamke aliyezalishwa na mwanaume mwingine, yataka moyo hasa! Bora hata aliyetoa mimba ujanani man hakuna ushaidi lakini wa mtoto, hata mimi hapana!
  17. J

    Wana jamii mweye majina ya walioshinda interview ya tra[preventive assistant] atufahamishe tafadhari

    Mi nimeikuta jumatano posta, ilikuwa inataka niende headquarter haraka iwezekanavyo nikipa hiyo barua, jana ndo nimeenda! Mambo fresh sana!
  18. J

    Wana jamii mweye majina ya walioshinda interview ya tra[preventive assistant] atufahamishe tafadhari

    kacheck posta, wametuma offef letter uko! usikawie ndugu, kimbia!
  19. J

    Nina ADA, CPA(T) na Masters in Accounting and Finance lakini sina kazi zaidi ya mwaka sasa!

    Hapana, 2009 IFM walikuwa bado wanatoa Advance Diploma. Degree zimeanza kutolewa kwa wanafunzi waliomaliza 2011. Advance zimetoka mara ya mwisho mwaka 2010.
  20. J

    Nafasi za kazi TRA

    siyo kweli jamni mnayoyasema, mi leo ndo nimeamini kuwa wanaopata tra si wote wenye vimemo! majina ya tax officer yametoka ya waliofanya interview november, kuna watu zaidi ya watano ninaowajua wamepata na hawana mtu wanaye mjua pale hata mmoja! ila ninachokijua, washikaji ni wazuri sana...
Back
Top Bottom