J jitegemee Member Jun 10, 2011 25 0 Jan 5, 2012 #2 kacheck posta, wametuma offef letter uko! usikawie ndugu, kimbia!
Nyamtala Kyono Senior Member Sep 23, 2010 163 34 Jan 5, 2012 #3 jitegemee said: kacheck posta, wametuma offef letter uko! usikawie ndugu, kimbia! Click to expand... walianza kutumiwa lini hizo offer letter?
jitegemee said: kacheck posta, wametuma offef letter uko! usikawie ndugu, kimbia! Click to expand... walianza kutumiwa lini hizo offer letter?
Saint Ivuga JF-Expert Member Aug 21, 2008 54,363 58,386 Jan 5, 2012 #4 unatafuta jina lako? kama hutafuti jina lako bsai utakuwa mdini/mkabila..sijamaanisha hivo lakini
T TONGINDI Senior Member Nov 23, 2011 174 32 Jan 6, 2012 Thread starter #5 jitegemee said: kacheck posta, wametuma offef letter uko! Usikawie ndugu, kimbia! Click to expand... wewe umeishapata hiyo barua?
jitegemee said: kacheck posta, wametuma offef letter uko! Usikawie ndugu, kimbia! Click to expand... wewe umeishapata hiyo barua?
J jitegemee Member Jun 10, 2011 25 0 Jan 6, 2012 #6 TONGINDI said: wewe umeishapata hiyo barua? Click to expand... Mi nimeikuta jumatano posta, ilikuwa inataka niende headquarter haraka iwezekanavyo nikipa hiyo barua, jana ndo nimeenda! Mambo fresh sana!
TONGINDI said: wewe umeishapata hiyo barua? Click to expand... Mi nimeikuta jumatano posta, ilikuwa inataka niende headquarter haraka iwezekanavyo nikipa hiyo barua, jana ndo nimeenda! Mambo fresh sana!