Search results

  1. M

    Hivi Tanzania kuna MacDonalds?

    Haipo maana watakosa biashara. Hawa watanzania wamezoea kunywa uji wa mbege, ndizi nyama, chapati maharage iwe asubhuhi, mchana na jioni. Nashangaa kama watajua jinsi ya kushika hilo liburger la Mcdonald lilivyo likubwa. Basi wanadai ni chakula cha mzungu maana mzungu hali kizito kama mwafrika...
  2. M

    Girls Do You Agree!?

    I heavily disagree. This works with the white culture only. Sio hawa kaka zetu wanaotaka kujua jogoo ndiye yupi na nani kuku.
  3. M

    Wapigwa Faini Kwa Kufanya Mapenzi Kanisani Nigeria

    I support you fully. Ukitazama hizi cinema za Africa Magic (Nigeria movies), utaona katika kila filamu, mganga au sangoma anahusika kutatu shida za mapenzi, biashara etc etc. Hivi mbona Wanigeria wanapenda sana mambo ya ushirikina namna hii. Nasikia kila corner Nigeria kuna mganga wa kienyeji...
  4. M

    Wahindi na Chenji: Je, ni kweli hawatoi chenji kwa mkono wa kulia?!

    Kwa kweli umenena. Wahindi ni wajanja sana kwa madawa. Hata madukani utaona wamemketisha paka mkubwa mweusi au mweupe sana aliyeketi juu ya counter kanenepa kibao. Huwa ni paka wa kuleta mteja na mradi mzuri dukani. tembelea maduka ya Dar au Nairobi kele Biashara Street walikomiliki...
  5. M

    Hivi Waganda wana matatizo gani na Kiswahili

    Na kweli umesema. Hawa Waganda mambo yao sielewi kabisa. Watajifanya hawajui Kiswahili lakini kadri mnavyo endelea na mazungumzo, unasikia atoa contribution. Swala langu ni hili, kama huelewi lugha mbona unachangia katika mazungumzo? Huo sio utapeli kweli au ndio sophistication.
  6. M

    Career Opportunities at Southern Africa Trust

    These positions look so inviting. The question remains if they are for real, still available or its a way of advertising the company for many to know of its existence. Personally I never knew there was a company like this. Thanks for the post. I will forward to others.
  7. M

    Watanzania Afrika Kusini

    Mwenzangu, Usimwelewe vibaya. Nafikiri katika field yake, ilibidi atafute wenzake ambao wapo ofisini ili wasaidiane kimasomo pia. Wale wanaouza barabarani, tayari anawafahamu tena sana maana supply yake ya mboga, anaipate maeneo hayo hayo. Ila hawana idea kuhusu vyama au wananchi wengine...
  8. M

    Watanzania Afrika Kusini

    Wenzangu wana JF, Nina binamu yangu mwanafunzi chuo cha UNISA anayekaa Johannesburg sasa ni miaka minne. Jambo la kushangaza anadai eti hajapata kuwaona Watanzania jijini Johannesburg. Wale anaowakuta ni watanzania mjini wanaouza viazi, vitungu, nyanya na kadhalika. Swala lake ni hili: Hamna...
  9. M

    Mapenzi Chumbani

    ;)The Pastor teaches how to behave infront of your partner. Tizama hii attachment. Mimi nimecheka mwenzangu sina mbavu tena. :wink: ner:
  10. M

    Flat stomach

    Mwenzangu, mimina mboga kwa wingi. Kaa mbali na starch kama viazi, ugali, chapati, mikate kwa wiki tatu. Mboga zako tia pilipili kwa wingi na jiepushe na mafuta. Kama wataka kukaanga, tumia mafuta ya alizeti. Usisahau kunywa maji glass 8 kwa siku ili uondoe uchafu mwilini. Mbona utajisahau...
  11. M

    Nambari/Anwani za Richard wa Big Brother

    My dear, Thank you very much. My buddies are busy surfing his websites as we speak.
  12. M

    The author David G Mailu

    Hamjambo wana JF. Mie pamoja na marafiki zangu tunatafuta jinsi tutakavyo vipata vitabu vya David G Mailu. Hamna hata anayeifahamu website yake jamani? Nilikisoma kitabu chake mwisho nilipokuwa chuoni Dar. Vitabu vyake vichafu mno lakini tusijifanye eti malkia hatusomi vitu hivyo. Tunataka...
  13. M

    Nambari/Anwani za Richard wa Big Brother

    Fellow Forummites, My best friends are going for a tour in Dar es Salaam. They are very interested to met with Richard Beduizenhout wa Big Brother Africa 2. Is there anyone please who has contacts of where he lives and contact numbers so that these people can get an auto graph. Thanks
  14. M

    Kitandani kwetu...

    Waliosema dawa ya moto ni moto, hawakukosea kabisa. Jinsi ulivyomkamata kitandani akicheza kwasakwasa, na wewe pia jitafutie wako, kisha mwite mumeo, akija basi jifanya upo kitandani na wako akupendae, unadumbwika kishenzi. Mbona atazimia.
  15. M

    Kitandani kwetu...

    Aisee, dawa ya moto ni moto. Na wewe pia jikamatie wako, kisha mkaribishe mumeo nyumbani kwako mdanganye unataka mzungumze. Basi anapobisha mlangoni, wewe jitundike kwenya ile position uliyompiga picha. Acha nawe anusurike sawa sawa, mshenzi.
  16. M

    What would you do if you were ME!

    My dearest sister, The men outside there have become cleverer than the hyenas themselves. It seems to me it is you who does not want to let go hence you are holding on to him. I am speaking this out of day to day experience. I am a qualified clinical psychologist - counsellor part time. I have...
  17. M

    Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

    This was the most cruel leader I have ever come across. Shame on him because his domestic worker was a black person. I wonder what the SA blacks are doing about this because I understand the white skin still rules in that country although this Botha is dead now.
Back
Top Bottom