Search results

  1. sigachuma

    DIT Undergraduate selection

    Kuna tetesi kuwa majina soon yatakuwa hewani. Kwani mechanical Eng. Washabandika majina yao pale chuon. Ila hali ni tete kwa kweli
  2. sigachuma

    Samsung GT 9100 (S2 ) For SALE

    Leta laki 2.90
  3. sigachuma

    Mgombea wa CHADEMA Chalinze hana sifa,anastahili pingamizi

    acha kutumika kijana jitahidi kuwa pamoja na nguvu ya mabadliko
  4. sigachuma

    Nokia E52 na Nokia E72 ziko sokoni!!

    Mpya? Used? Kama mpya ntakuchek tubagain hiyo e52
  5. sigachuma

    Jengo la Tigo Makao makuu (Derm House) lipo hatarini kudondoka

    We rijamaa una asili ya mura... M2 kakuambia yupo palapale ww unambishia . Cjashangaa sana hata unavyoamin kuwa engineers are only from udsm. Takwimu sahihi nenda pale ERB tz watakupa na ukitaka hata mifano pia. Shida ya ss watz ni kuamini ulichoaminishwa na babu zako. Ndio sawa na wale...
  6. sigachuma

    Jengo la Tigo Makao makuu (Derm House) lipo hatarini kudondoka

    Sio lazima udsm. Tuna vyuo vingi sana tz vyenye zaidi ya hao wataalam unaosema. We hv DIT,MUST,ST. JOSEPH PIA. Kwa hiyo km hao unaowataka hawapo lisikaguliwe eeee..... Ulimbukeni huo. Eti nataka hii sitaki hii
  7. sigachuma

    Nauza samsung galaxy S duos

    Specs zake??? Picha??
  8. sigachuma

    bb curve 5 inauzwa 300,000

    Weka hata pic ha mkuu, hizo curve zip nyingi sana
  9. sigachuma

    msaada kwenye tuta"whatsapp ktk nokia x2-02

    Ninayo Nokia x2-02
  10. sigachuma

    Warning kuhusu simu za Galaxy S4, S3, Note 2 za kichina

    kumbe nimepona na ttzo. nashukuru kwa kunifungua bwn Chief
  11. sigachuma

    Warning kuhusu simu za Galaxy S4, S3, Note 2 za kichina

    hata mm nina hiyo s2 ss cjui nilichakachuliwa? ina internal memory ya 14gb na ram kama kawa 1gb. nilimuuliza muuzaji akaniambia hizo 2gb zipo ktk application na kuwa huwez ona total yote 16gb. is it true? ila kazi inapiga frsh saana
  12. sigachuma

    blackberry,samsung for sale

    cjaona bei ya s2 hapo mkuu
  13. sigachuma

    Photosmart Bplus 250

    Kazi yake kuprint picha tu? Mbona photo...
  14. sigachuma

    /Galaxy S4

    sio yenyewe hiyo,laki 6. kwa s4. hapana mkuu. tupe specs zake. hata s3 ukipata ni zile za kawaida sio original
  15. sigachuma

    Live Updates: Tanzania Vs Ivory Coast – World Cup Qualification 2014, June 16, 2013

    Leo Nyoni nimeshuhudia akiwa ni sababu ya magoli mawili. 1. La kwanza mabek wa starz walicheza offside trick ila yy alibaki na ndo likawa goli. 2. Alimsindikiza gervinho toka mbaaaali alipofika ndani ya 18 huku akijua lolote litakalofanyika inaweza kuwa penalt, na yy akamsukuma...ila ndo mpira...
  16. sigachuma

    Mapungufu ya Lady Jaydee na kosa la kumwita Mwana FA kuwa MwanaFatuma

    mtoa maada yupo ok kwa asilimia zaid ya 99. Sina la kuongeza kwa apo
  17. sigachuma

    TCRA yaiamuru Star Tv kurudi Star Times kabla ya 10 jioni leo!

    Dstv ipo chini ya nani? Mbona naona star tv inarushwa kama premium kwan co FTA tena zaidi ya tbc nayo kifurushi kikikata nayo inapotea. Kwanini hawa dstv wasilazimishwe kuingiza local channels za tanzania ziwe free to air au mnawaogopa? Je kwa nini hamkutoa hiyo elimu kwa wananchi mapema kabla...
  18. sigachuma

    TCRA yaiamuru Star Tv kurudi Star Times kabla ya 10 jioni leo!

    Kwa receiver ipi, au hadi m Mpeg 4
  19. sigachuma

    Live Updates: Morocco Vs Tanzania leo, 8 June 2013 uwanja wa Stade de Marrakech

    Hata tanzania ishinde leo, wakipitisha bakuli la kuchangisha sitathubutu kuchanga hata senti moja kwa sababu hawaoneshi mechi zao. Hapa hakuna maana ya kuwa na wizara ya michezo wala serikali wooote.
  20. sigachuma

    Live Updates: Morocco Vs Tanzania leo, 8 June 2013 uwanja wa Stade de Marrakech

    Leo hii ilitakiwa kila mtz ajue matokeo kabla ya kulala ila watanzania wamepoteza matumaini na nchi yao na tbc pia, ikikumbukwa kuwa wakati wa mjadala wa bajet wabunge wetu wamepitisha mabilioni ambayo na kodi ya sisi watz ambao tunalipa kwa kila kitu tukitumiacho ili kulinda,uhai wetu, cha...
Back
Top Bottom