Search results

  1. D

    The Tiger Woods Saga and beyond

    Huyu bwana mdogo kalikoroga mwenyewe...aligange sasa!Hamna cha ngozi wala nini....nasi tumezidi...kuamsha habari ya ngozi kila linapofurumuka valangati basi rangi nyeusi inasingiziwa kuwa kigezo.Sawaa...kuna kesi za kikweli kweli kuhusiana na ngozi...ila hii aisee...wala...!Me sikubaliani...
  2. D

    Ripoti ya Jopo la Wataalam wa UN juu silaha Haramu DRC

    Asante...ama uwe huielewi...au umegoma kuielewa.
  3. D

    Haya ni baadhi ya matatizo ya kuchaguliwa mchumba

    Kutwangana kwangu na ndoa ni vitu visivyoendana kabisa...Anapomtwanga mwenzie anafaidika vipi zaidi ya ku-inflict maumivu?Inaonyesha ni jinsi gani huyu mtu ana upeo mdogo wa maisha,hamuheshimu na wala hampendi mwenza wake na ni jinsi gani analazimisha kile anachotaka kiwe,kitokee hata kwa...
  4. D

    Airhostess courses in dar es salaam

    kumradhi kama vipo.obviously ufahamu wangu ni mdogo kwa uwepo wa vyuo hivyo dar.asante kwa kumfahamisha.kauliza swali jibu langu halikumpa ilipo hivyo vyuo lakini linaweza kumsaidia asipoteze pesa zake.nna imani anauliza akiwa na nia ya kusoma na kuja ifanya hiyo kazi.kama hivyo ndivyo.kila...
  5. D

    United States of Africa!!

    The question is.. 1.DO WE REALLY NEED IT? 2.WHAT ARE WE GOING TO BENEFIT FROM HAVING IT?
  6. D

    Airhostess courses in dar es salaam

    Huitaji course kuwa air hostess.Ninavyoelewa,hakuna Dar.Na hata ingekuwepo ungepoteza pesa zako bure.Normally wana-ku-train wenyewe...Kutokana na ndege gani wanatumia.Na karibu kila shirika la ndege lina training centre yake.I hope nimejibu swali lako.
  7. D

    Haya ni baadhi ya matatizo ya kuchaguliwa mchumba

    Ndoa haina maana upokee kipigo na kutulia tu..Kwa kweli walienda kanisani..kuifunga na arejee kanisani huko huko...akaseme na paroko/mchungaji wake amueleze hali anayokabiliana nayo.Me binafsi sina imani,subira na wala heshima na mume anae nyanyua mkono kumkung'uta mkewe.Ndoa is about sharing...
  8. D

    Wabeba maboksi crew

    Yanalipa in comparison to which other jobs?
  9. D

    Kanumba ndani ya Big Brother House 2009

    Sawa kiswahili Lugha yetu.Haelewi swali?Maana what's the whole point of reality show kama hamna conversation?Basi angepitia maimuna aka-brush lugha kidogo.Maana aliulizwa if you were a real house member ,would you have a strategy?What would it be?Jamaa alionekana kutoelewa hadi Big Brother...
  10. D

    Big Brother Africa 2009: The Revolution

    Big Brother is a reality television show in which a group of people live together in a large house, isolated from the outside world but continuously watched by television cameras. Each series lasts for around three months, and there are usually fewer than 16 participants. The housemates try to...
  11. D

    Female pilot "clouds" army`s 45th birthday

    Hapo mmeniacha kidogo.Tatizo ni lipi?Kwamba rubani kuwa wa kike nd'o kafunika hiyo sherehe ya miaka 45? Ama hao waandishi wanavyomshangaa rubani wa kike kwanza na umuhimu wa sherehe ya miaka 45 ya jeshi kufuata nyuma?Kiingereza kilichotumika mbona kiko sawa?
  12. D

    No comment - Kingunge

    Hivi huyu mzee kingunge bado yuko serikalini pia ama ni kwenye chama tu?
  13. D

    Hivi Tanzania kuna MacDonalds?

    Mi nadhani jibu umelipata hamna McDonalds...ila kwanini...Sidhani kama kuna hata mmoja wetu hapa anaweza kukupa jibu sahihi.Ingekuwa vizuri kama ungefatilia mwenyewe na kujua ni kwanini.Inawezekana hamna aliyejitokeza kutaka fungua hiyo Mc D na nadhani unaelewa ili kuwa nayo inabidi u-meet...
  14. D

    August 2008, 2009: Bolt sets new 100m world record

    Pamoja na watu kumdhania anachovya!!! From Wikipedia, the free encyclopedia Bolt's record-setting runs caused commentators not only to praise his achievements but also to speculate about his potential to become one of the most successful sprinters ever. Critics hailed his Olympic success as...
  15. D

    Hasheem Thabeet atua

    Thabeet is mainly known for his defence,and being 7ft4 works to his advantage.But he has a talent...not every one who's 7ft4 can play basketbal as he does and defence as him.
  16. D

    Athletics World Championships. Berlin

    Yep!Bolt has done it again...he broke his own 100 metres world record in a breathtaking 9.58 seconds!Pyuuuu!
  17. D

    Hasheem Thabeet atua

    Kina yakhe hawakumsaidia kufika alipofika!Lakini hata ku-acknowledge his achievement pia mnai-question?Nadhani Joel alipaswa kuwa pale...ningeshangaa kama angejikausha.Na ni vyema awatie ari wengine wenye vipaji wajue kwamba si kila kitu kinakuja kirahisi.Ivo M usikate tamaa...nna imani unaweza...
Back
Top Bottom