Search results

  1. R

    How to ByPass a Hotspot Connection

    Swala si kulipia ndugu,hata ukilipia bado download iko chini sana
  2. R

    How to ByPass a Hotspot Connection

    Ni internet ya ofisi kaka,sasa imebanwa kiasi kwamba download speed haivuki 1kb/s,nimejaribu ushauri wako wa pili nao umekwama,kuna haya maswala ya SSH,SOCKS,SIJUI UTAKUWA UNAYAJUA?
  3. R

    How to ByPass a Hotspot Connection

    Habari zenu wanajamii forum,nahitaji msaada wenu ili nijue ni jinsi gani ntaweza kupata full access ya internet kwani hivi karibuni nimebaniwa access kwa kuwekewa Hotspot,yani nikitaka ku browse internet lazima niingize password na username ndo nianze ku surf,toka hiyo program imewekwa...
  4. R

    Unblocking Web Browser Lock

    Habari wana Jf,kuna software nimeikuta kwenye pc ambayo ime block web browser yeyote kufunguka ili kuweza surf internet,yani huwezi fungua Internet explorer wala firefox wala google chrome,unapotaka fungua hizo browsers ile program ina kwambia "Browser blocked by Browser Lock,if you would like...
  5. R

    Password Protected Excel Sheet

    Hamna njia nyingine?
  6. R

    Password Protected Excel Sheet

    kwahiyo nitafute hiyo program "bruteforce",si ndiyo?
  7. R

    Password Protected Excel Sheet

    Habari ya saizi wana JF,minaombeni msaada kama kuna mtu ambaye anajua jinsi ya ku hack password protected excel file,yani nikwamba kuna files nataka kufungua,ni za excel lakini nashindwa kuona contents kutokana na kwamba zina password,je kuna jinsi ya kuzi unlock,tafadhali naomba nisijibiwe vitu...
  8. R

    Hacking any nokia smartphone(latest hack)

    Kaka,minatumia Nokia n900,nahitaji software za kusomea documents kama word na exce,ntaipataje hizo software for free...
  9. R

    Kuweza ku install,change settings as a user

    Ahsante,swala la internet kutumia sio kweli kwani kuna wateja ambao wanapata wifi for free,kwahiyo nadhani ni mtu alikuja kwenye pc yangu na kuziona zile application letter nlizosahau kudelete na ku report kwa mabosi,any way nime angalia hiyo portable app its really interesting,sasa minlikuwa...
  10. R

    Kuweza ku install,change settings as a user

    hatutumii hizo za ttcl au bmtl,mimi sio dumb kiasi hicho,nnatumia personal email,yahoo actually,sasa ameniambia kuwa wameziona zote nikashangaa,sina uhakika kama wameziona ila ameniambia bosi mwenyewe,kwani nikituma kwa yahoo hawawezi ziona inamaana,au wameona word docs nilizo save kwenye...
  11. R

    Kuweza ku install,change settings as a user

    i411,hivi karibuni employer wangu kaniuliza kama niko motivated kufanya kazi hapa ofisini kwake,kumbe ameona all the application emails i've been sending to various companies,sasa nnchotaka kujua,je alipo findout ni kwamba ameona actual emails that i've sent au anachoona ni nini? kwani nimeogopa...
  12. R

    Kuweza ku install,change settings as a user

    nashukuru i411,ngoja nijaribu nijionee.
  13. R

    Kuweza ku install,change settings as a user

    nipe hiyo miujanja kijana
  14. R

    Kuweza ku install,change settings as a user

    Ahsante kaka,nlishajaribu tactics kibao,actually ni pc ya ofisi,sasa wamebana vitu kama kuinstall na kuchange any settings kama hardware and the rest,sasa mimi nna masoftware kibao nataka kuinstall kama itunes,bittorrent,nashindwa kutokana na kwamba naitumia pc kama user,nadhani umenipata...
  15. R

    Kuweza ku install,change settings as a user

    Habari ya saizi wana jf,nna shida moja naomba msaada wenu,pc ambayo naitumia ina users waili,administrator na user,sasa mimi naruhusiwa kutumia user ambayo iko restricted,vitu kama ku install programs nashindwa kabisa,ombi langu nikama kuna uwezekano wakuweza kuinstall na uninstall programs kama...
Back
Top Bottom