Search results

  1. B

    More than serious nahitaji mume wandugu

    asante jena, maana huyu Aus kakushupalia bila kusoma vizuri. Atakuwa mshabiki wa simba amechanganyikiwa
  2. B

    Nataka kwenda Comoro

    Precision wanaenda
  3. B

    ITV/RADIO One na Viporo vya Habari

    Itv karibu miaka ishirini hawawezi tafsiri kiingereza toka kiswahili.
  4. B

    Je? Hata huko kwenu kuna mgao??

    Tegeta tangu j3 umeme unawaka kati ya saa 5 usiku na saa 2 asubuhi
  5. B

    Rais kikwete amtolea uvivu david jairo ...apigwa stop tena..

    Hii si habari tena, imeshachangiwa vya kutosha tangu haubuhi.pole
  6. B

    Msaada Jinsi ya Kudaload Video

    Nimeipenda hii, je baada ya ku download unaweza copy kwenye cd bure?
  7. B

    ESPN: Kikwete na ccm wana yanga

    Kikwete ni yanga damu
  8. B

    Mwenzi wangu ana mbweche kubwa

    Mpeleke kwa daktari
  9. B

    masaburi hana ubavu wa kuvunja ddc

    Huyo yuko katika kundi la mafisadi
  10. B

    tido muhando ndani ya al jazeera

    <br /> <br /> hausomi mtandao huu mara kwa mara. Amekanusha taarifa hizo. Angalia thread za siku 2 zilizopita au michuzi blog
  11. B

    Hivi tuna serikali kweli ?

    Nani amtimue? Anakula na wakubwa huyo nchi hii inaongozwa na wenye fedha
  12. B

    Leo ni Wizara ya Magufuli

    <br /> <br /> jamani hamkumbuki alivyopigwa stop na mtoto wa mkulima kule jimboni kwake, na bosi wake siku ile alipotembelea wizarani?
  13. B

    Jimmy David Ngonya afariki dunia

    RIP David, familia na wana Simba wote
  14. B

    Jairo asimamishwa kazi

    Hiyo imeeleka,watasema ile barua ni ya kufoji
  15. B

    Precision Air na biashara ya ndege kama daladala

    Kwani 540 ya kenya haipo huko?
  16. B

    Ephrahim Kibonde ana CHEO gani CCM?

    Anajipendekeza tu,anadhani atapata ubunge hapo baadae kama Amina Chifupa
  17. B

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Wapo pale kila jumamosi kusanya pesa tu. Watoke pale trafiki zaidi ya kumi huwa wanagombea magari. Aibu yao.
  18. B

    Posho na Mishahara ya wabunge...

    Mbona hamzungumzii kodi kwenye mshahara, hamangalii salary slip zenu muone mnavyopigika?
Back
Top Bottom