Search results

1. M

Okoa matumizi ya mafuta kwenye gari lako (petrol/diesel)

Mbau Group of Companies (T) Ltd, ambayo ni Authorised Distributor wa fuel additive iitwayo Extreme Fuel Treatment (XFT),hii fuel additive hupunguza fuel consumption mpaka asilimia 33 (33%),teknologia hii iliyogundulika mwaka 2008 huko marekani imeshaanza kufanya kazi katika nchi 12 dunia...
2. M

Ukweli kuhusu tanzania loans society

Ndugu wanajamiiforum,nimefuatilia kwa kina asasi hii inayojiita Tanzania Loans Society,yafuatayo nimeyabaini: 1. Namba ya simu iliyotolewa kwaajili ya tigopesa ni ya bwana LWEMBO FELIX. Namba hii haipatikani wala haipo kwenye system (Unobtainable) 2.Tanzani Loans Society SIO tawi zawa la...
3. M

(Picha) Gari linauzwa Mercedez Benz E 200 bei poa

Gari lipo katika hali nzuri,ina marekebisho madogo sana. Bei ni Tsh Mil 8.5 tu mazungumzo yapo. 0717 424601
4. M

Nape atoa neno kwenye Mgomo wa madaktari adai hawana shukrani kwa watanzania

haaaaa haaaa haaaaa haaaa kumbe huyu **** mtoto wa mpango wa kando
5. M

Nauza Gari aina ya Volks Wagen Polo 2002

Gari hii nimetembelea miezi minane na ipo kwenye hali nzuri sana plate namba yake ni BCV. Kwa yeyote ambaye atakua anahitaji tuwasiliane kwa namba 0715251100. Bei ni maelewano. Karibuni.
6. M

Mtazamo wangu juu ya Maandamano dhidi ya JK

Weee idiot kasikilize Antivirus vol 2 imetoka
7. M

Moja ya Kauli za Kukatisha Tamaa za JK

Acha ufala wewe kwani uongo?
8. M

Kalamu ya Mwigamba: Salamu za CHADEMA kwa watanzania

Usingemalizia kusoma.
9. M

Mapinduzi NCCR Mageuzi

Huyo mwache aneemeke kwa uwepo wa huyo ****** akimaliza na wao wfungashe virago...
10. M

Dr Slaa TAZAMA SAA YAKO NI SAA NGAPI HIVI SASA? WATU WAFUMBUA MACHO!!!

Mbona wewe hukumpeleka mahakamani Dr Slaa na Mch Mtikila? Au nawe ilikuwa ngoma nzito?
11. M

Je, Kikwete ni mdini?

Mpumbavu wewe ndio maana hukuwa Tendwa.
12. M

Viongozi wa CCM kupinga kila hoja ya upinzani nikujionyesha kama wanafanya kazi?

Wana JF,ninakerwa sana na Chama cha Mapinduzi kupinga kila hoja ya upinzani hata kama hoja hiyo ni ya msingi na tija kwa taifa.......kila jambo na hasa litokalo kwa CHADEMA basi watalivalia njuga na mara nyingine hoja ikiwa ni nzuri kwa taifa hudiriki kusema wao (CCM) ndilo walioiibua na si...
13. M

CHADEMA: A mob psychology na ole wenu

Mpumbavu sana wee mayeye...umshauri wewe kama mkewe?
14. M

Hongera jeshi letu pendwa la polisi

Mbona wakerewe wengi wana akili kimekukuta nini? Au wewe ni chotara wa kikerewe na kikwere? Kampile wachasugu.....
15. M

Hali ni mbaya Tarime: Polisi watembeza Mabomu usiku huu; Kina Lissu wakamatwa

Ili kuonekna serikali inajali "majambazi" wanadilliki kusema wanatoa kifutajasho cha Mil 3. Huu ni upuuzi wa hali ya juu. Sidhani hata kama Baba R1 anaweza kumpa mwanae hiyo hela...
16. M

Nape na Kipindi Maalum - CCM Kujivua Gamba

Ni mropokaji sana kiasi cha kuchefua
Back
Top Bottom