Wakuu nawaombeni tafadhalini kwa yoyote mwenye contacts za msanii JB anisaidie maana nahitaji kuwasiliana naye. Ni suala la kisanii naomba uni PM. Natanguliza shukurani, Mobile number or e-mail.
People are not as nice as animals, if animals wanted anything more than regular meals and shelter, the'd be just like people. people don't want only what they need. They want more , always more, and the only way to get it is by taking what they want from others. Human nature. let us talk about...
Padre mmoja akiwa kwenye gari alisimamishwa na Trafic Police,police akiwa anahitaji rushwa alianza kuuliza maswali mengi, mara mbona gari lako linatoa moshi mwingi? mbona gari lako matairi yameisha, hatimaye polisi akamuamuru padre waende nae kituoni.
Njiani polisi alimuuliza padre, umesema...
MATATIZO YA KIFAMILIA
Basi sikiliza kisa hiki.
"Miaka michache iliyopita nilikutana na mwanamke mjane, aliyekua na binti mkubwa tu na tukaamua kuoana. Baadaye baba
yangu akamuoa binti yangu wa kambo hivyo huyo binti yangu, wa kambo akawa mama yangu wa kambo na Baba yangu akawa
mtoto wangu wa...
madam was having trouble with one of her students in 1st Grade class.
Madam asked,'VASANT. What is your problem?'
VASANT answered, 'I'm too smart for the first-grade. My friend is in the third-grade and I'm smarter than him! I think I should be in the 4th Grade!'
Madam had enough. She took...
Rugaimukamu: Hivi Rweyongeza, kare katoto kako Gozbert kako wapi siku
hizi? maana nakumbuka karikuwa dull darasani mwenzake Albert ni daktari
bingwa sasa!
Muchunguzi: Ee Albert kumbe ni mtaaram bwanaa.
Rweyongeza: Aaa Gozbert yupo, yeye kazi yake ni kuwahudumia wagonjwa
warioshindwa na...
MTIHANI WA MAARIFA YA DUNIA:
Instructions:- Muda: 10 Seconds.
- Majibu mpe mwenzako.
JIBU MASWALI YOTE
1. Kama hela haioti kwenye miti,kwanini bank zina matawi?
2. Kwanini gundi haigandi kwenye chupa yake?
3...
VERY 'straight and honest' girl from Makueni (a town in Kenya ) was coming to seek work in Nairobi . Before she left home, her mother gave her some advice.
"Mbinya, my child when you get to Nairobi , many men
will try to get you. Resist them till you get a
husband. And you must...
JOHN: Dad I want to marry SARAH. Dad: No ways my son, SARAH is your sister, her father was working
in JHB so I had a relationship with her Mum and She gave birth to SARAH,
but pleas don¿t tell your Mum.
JOHN: Okay Dad.
Six months later JOHN had courted another lady called MARY.
JOHN: Dad I have...
Hi there..is this true ??????
An airplane was about to crash; there were 5 passengers on board but only 4 parachutes. The first passenger said, " I'm Kobe Bryant, the best NBA basketball player, the Lakers need me, I can't afford to die.... So he took the first pack and left the plane. The...
Jamaa walikubaliana washindane kusema uongo ambao utafanana na ukweli, mshindi apewe zawadi...
Mmmarekani: Kwetu sisi kule New York kuna majumba mareeefu
yanafika mbinguni!
Jamaa: loh nyumba gani hizo mpaka mbinguni?
Mmarekani: aah ok...kwa chini kidogo.
M-bagamoyo...
Never Wash Your Hands!
Itll take him four hours to do one hand. He then photographs it for posterity. I cannot imagine how he does it, the eyes are so remarkably lifelike. It took him 10 hours to do the two-handed Eagle in picture #4.
Wana JF naomba msaada kwa yeyote mwenye jawabu kwa yafuatayo...
Wakazi wa majumba ya CDA Iringa road wanatakiwa kuhama ati kupisha matengenezo, swali watu hao wataishi wapi ??? kipindi cha matengenezo huu si ni uhamisho ndani ya nchi yao.
Pili kupandisha kodi toka 75,000 - 200,000 kwa mshahara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.