Eid imekwisha salama

kalukamise

JF-Expert Member
May 4, 2011
683
189
viewer
 
Salama sana!
Ila unatukumbusha mimbuzi tuliyoimanga mkubwa!

Ah ah ahhhh, usinikumbishe shemegi.
Apa nna mpango wa kurudia mbuzi kesho kwa ugali na mlenda. Lol.

Na saivi jaka la moyo nimelishusha ntakula vizuri, mana nlikua naogopa uarusi, lkn kumbe raha utamu mpaka..........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom