Maneno ya Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald Mengi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation (TPSF), kupitia Twitter yake leo:
"Kusema gesi itafikisha Tanzania nchi ya PATO LA KATI mwaka 2025 ni UONGO. Acheni kuchezea matarajio (expectations) ya Watanzania. Ombeni radhi"
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Frederick Werema, ametamka rasmi kura ya maoni ya katiba mpya sasa kufanyika Aprili 30, 2015 na siyo Machi 30, 2015 kama ilivyoripotiwa kwenye gazeti la Mwananchi. Rais Kikwete naye amethibitisha kuwa kura ya maoni ni Aprili mwakani.
Source:
Tanzania to hold...
Ni dhahiri kuwa tangu uchaguzi mkuu wa 2010 ambapo CHADEMA ilifika kilele cha umaarufu wake na kozoa wabunge wengi, sasa chama hiki kikuu cha upinzani kimezorota. Hii inatokana na mambo mengi, ikiwemo mgogoro wa uongozi wa ndani ya chama, kupwaya kwa Katibu Mkuu Dk. Wilbrod Slaa na M'kiti...
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulucommpress@googlemail.com
Website : www.ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT'S OFFICE,
STATE HOUSE...
Edward Lowassa, waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi wa Richmond bado anautaka Urais 2015 kwa bei yoyote ile, licha ya kuchafuka vibaya kimaadili, hii ni kwa mujibu wa vyanzo ndani ya CCM.
Akishindwa kuupata Urais, yuko radhi awe "kingmaker" aweke watu wake ili apate nafasi...
EAC row: Kenya, Uganda,
Rwanda 'cowboys' must
hold their horses
President Jakaya Kikwete last week delivered a powerful speech in Parliament on the state of affairs in the troubled East African Community (EAC).
Kikwete's address to the nation via Bunge came as the presidents of Kenya...
Errol Barnett, mtangazaji wa CNN anafanya vipindi kutoka nchi mbalimbali za Afrika. Juzi alitoa kipinfi kuwa Kenya inaongoza kwa matumizi ya computer na Internet barani Afrika.
Sasa hivi naangalia kipindi hicho CNN kinasema Tanzania inaongoza kwa imani za uchawi duniani kutokana na utafiti wa...
Rais Paul Kagame wa Rwanda, ambaye amekuwa akisifiwa kwa uongozi thabiti na kuiendesha nchi vizuri kuliko Tanzania, sasa inaelekea ameanza kulewa sifa baada ya kufanya vituko huko New York.
Kagame ameripotiwa kulala kwenye hoteli ya kifahari ambapo gharama ya rum (chumba) ni takribani...
Tanzania inflation rises to 14.1 pct in August
DAR ES SALAAM
Tanzanias inflation rose for the tenth consecutive month in August driven by higher food and energy costs, the statistics office said on Thursday.
The year-on-year inflation in east Africas second-biggest economy jumped to 14.1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.