Search results

  1. sun shine

    msaada wako wahitajika.

    Nashukuru ila mie nataka dawa nipige mechi baadae.natafuta inayofanya kazi fasta
  2. sun shine

    msaada wako wahitajika.

    unaenda nje ya mada bosi. shida yangu ni dawa na mtazamo wako
  3. sun shine

    msaada wako wahitajika.

    nipatie aisee
  4. sun shine

    msaada wako wahitajika.

    anapatikana mtaa gani
  5. sun shine

    msaada wako wahitajika.

    wahenga wa jukwaa hili nina shida moja nahitaji msaada wanu. leo nina game moja ya mchangani na nimeikamia sana. nataka kuongeza nguvu kidogo ili nipige round za kutosha. ni wapi naweza pata viagra kwenye jiji hli lisilo na mkuu wa mkoa? na gharama zake zipoje. kama zipo za asili na zimekaa poa...
  6. sun shine

    Mchumba wa kike anasakwa.

    Ndio nina nyumba na usafiri ninamiliki ki ist kina nimuvuzisha from point a to b
  7. sun shine

    Mchumba wa kike anasakwa.

    kubwa ni kusaidiana kwenye kila jambo dada yangu
  8. sun shine

    Mchumba wa kike anasakwa.

    nitaheshimu mawazo yako hata kama nayaona yamejaa udhalilishaji kwani yote ni kazi ya mungu
  9. sun shine

    Mchumba wa kike anasakwa.

    umri uwe above 20 na sio zaidi ya 35
  10. sun shine

    Mchumba wa kike anasakwa.

    kama wewe una wako si uache wenzio tutafute wa kwetu hata kama njia hii huiafiki?
  11. sun shine

    Mchumba wa kike anasakwa.

    Raia acheni basi hizo mambo za kujadili neno kwa neno. Atakuja mchangiaji atasema ulitakiwa kuweka nukta badala ya mkato. Nia yangu ni kupata mchumba ila sijasema kuwa nikipata mchumba naondoka Jf. Cant you reserve your negative opinions?
  12. sun shine

    Mchumba wa kike anasakwa.

    Nawasalimu ktk Jina la Yesu Mwana wa Mungu alie hai. Nimekuwa mpenzi wa Jf kwa muda sasa na nimeamua kujiunga ili nitafute mwandani wa maisha kupitia jamvi hili. Nina umri wa miaka 28 na nina elimu ya chuo kikuu. tafadhali sana kama kuna binti alie single naomba anitumie ujumbe mfupi. Sifa kuu...
  13. sun shine

    sunshine

    guys,here comes sunshine.
Back
Top Bottom