Mchumba wa kike anasakwa.

sun shine

Member
Apr 23, 2011
13
1
Nawasalimu ktk Jina la Yesu Mwana wa Mungu alie hai.
Nimekuwa mpenzi wa Jf kwa muda sasa na nimeamua kujiunga ili nitafute mwandani wa maisha kupitia jamvi hili.
Nina umri wa miaka 28 na nina elimu ya chuo kikuu.
tafadhali sana kama kuna binti alie single naomba anitumie ujumbe mfupi.
Sifa kuu ni kama ifuatavyo.
1.mcha Mungu.
2.awe na anajitegemea.

Im so serious girls...this aint a joke.
 
hapo kwenye blue sijaelewa, so ukimpata huyo mwanadani unavua gamba la JF?
 
You've just spoken my woirds Susy,
Inamaana hakuna kingine chochote anachohitaji kutoka jf zaidi ya mchumba.
mmmh kaaaaazi kweli kweli
 
hapo kwenye blue sijaelewa, so ukimpata huyo mwanadani unavua gamba la JF?

Inaonekana huyu kaja strategically. Kumbe JF kuna wachumba eeh, ngoja tusubiri ukamilifu wa dahari.
 
Raia acheni basi hizo mambo za kujadili neno kwa neno.
Atakuja mchangiaji atasema ulitakiwa kuweka nukta badala ya mkato.
Nia yangu ni kupata mchumba ila sijasema kuwa nikipata mchumba naondoka Jf.
Cant you reserve your negative opinions?
 
Hii ndo JF, Great Thinkers. Kitu hakikatizi hivihivi bila kufanyiwa upembuzi yakinifu.
 
tulipumzika na siredi za wachumba sasa mmeanza tena hebu kwenda zako huko facebook katafute...................
 
Nawasalimu ktk Jina la Yesu Mwana wa Mungu alie hai.
Nimekuwa mpenzi wa Jf kwa muda sasa na nimeamua kujiunga ili nitafute mwandani wa maisha kupitia jamvi hili.
Nina umri wa miaka 28 na nina elimu ya chuo kikuu.
tafadhali sana kama kuna binti alie single naomba anitumie ujumbe mfupi.
Sifa kuu ni kama ifuatavyo.
1.mcha Mungu.
2.awe na anajitegemea.

Im so serious girls...this aint a joke.
Hebu tuletee Audited Bank Statement yako kwanza mimi siwezi kukupa dada yangu halafu akapate shida, hajazoea shida kabisa
 
Raia acheni basi hizo mambo za kujadili neno kwa neno.
Atakuja mchangiaji atasema ulitakiwa kuweka nukta badala ya mkato.
Nia yangu ni kupata mchumba ila sijasema kuwa nikipata mchumba naondoka Jf.
Cant you reserve your negative opinions?

Ok..
kuhusu huo uchumba ningejitolea lakini hiyo point ya 'kujitegemea' inanitisha
mmmh....kaka,utanihudumia kweli au ndo nikihitaji chochote toka kwako itakuwa
'si una kazi yako...'?!
naogopa...sijazoea
 
Ni PM mimi tuongee, ukifika bei tuendelee. Kila la heri mwaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom