Habari, Kama kichwa kinavyo sema hapo juu, mimi ni kijana nina miaka 26 elimu ya stashada ya maendeleo ya jamii kwetu ni mtwara kwasasa nipo Dodoma, Ujuzi nilio nao tofauti na elimu yangu:
. Ujuzi wa computer hasa exel,word na publisher
. Saluni ya kiume(kunyoa)
. Kuandaa miradi, nipo hapa...
Habarini wakubwa,kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu najua kuna watu tofauti humu ndani wanaweza kutoa msaada, nina mdogo wangu ambaye nilimpambania aingie JKT na sasa anakaribia kumaliza mkataba wake na hitaji lake kuu ni kuhamia kambi ya JKT makutopora ambayo ina chuo cha ufundi ili...
Ila? Maana kuna mujibu wa sheria wanaotokea A level na kujitolea wanatokea mtaani, hao unaosemea wewe walienda kwa mujibu upi
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.