Search results

  1. karonga

    Dogo amenikera mpaka nahisi kumchukia mazima

    Komentini chap chap kabla hawajaja mabinti wanao omba hela wakaja kuchafua gazeti kuwa mwamba ameshindwa kujiongeza
  2. karonga

    Thank you Valentine Babes For the Ride 😍😍

    Kama ndie tulikumiss sana, ulikuwa wapi siku zote hizi, au babu zlikuficha
  3. karonga

    Thank you Valentine Babes For the Ride 😍😍

    Huyu ni kasie mwenyewe au account imehakiwa
  4. karonga

    Kwa heshima na taadhima naomba ulipokee hili To yeye

    Tatizo umekaa zako huko na rimoti yako kazi yako kuwatia nyege wala huwapi mwisho wa siku wanakuja kuweweseka huku
  5. karonga

    Kwa heshima na taadhima naomba ulipokee hili To yeye

    Kwani wangapi wamewahi, mbona huyu mtu na heshima zake, sijui wengine lkn mimi namheshimu sana
  6. karonga

    Kwa heshima na taadhima naomba ulipokee hili To yeye

    Haya sasa kipi kinafuata tupe muongozo
  7. karonga

    Ukweli mchungu ila ubachelor unawafaa zaidi Vijana waliojipata, wapambanaji na wanaojielewa

    Kwani hata Hao wenye pesa munawapenda basi, ni njaa zenu tu ndio zinawapelekesha🤣🤣🤣
  8. karonga

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Inategemea na hao wataalamu wamefanyaje hiyo operation lakini kiukweli ukichezea vizu huna tena uzima ndugu yangu, omba yasikukute wengine wamepata vilema vya maisha Kwa hizo operations
  9. karonga

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mkuu kabla hujaendelea nataka nikuunge mkono juu ya uwamuzi uliouchukua kwa huyo sister, ni uwamuzi WA busara Sana, suala LA hospital binafsi kulazimisha wanawake wajifungue kwa operation liko nchi nzima, nimeshuhudia mshkaji wangu akifanyiwa hivyo kwa mke wake, siungi mkono madaktari...
  10. karonga

    Wanawake hawanitaki, nahisi nina mkosi mkubwa

    Unajua pepo ipo na kila mtu anajua afanye Nini Ili aingie peponi, lakini Cha kushangaza ni wachache tu ndio hufanikiwa, Mimi pia mademu hawanitaki, lakini Mimi ninachukulia tofauti na wewe, Mimi hunichukulia Mimi ndio pepo na wanawake ni waumini ambao wanataka waingie peponi, kwa hiyo wale wote...
  11. karonga

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Account sio ngumu kwenye simple accounting theories lakini ukifika kwenye mambo ya liquidity theories, huko ndani ndani huko kwenye ma formula magumu utajua hujuwi, Ili account uiweze unatakiwa kichwa chako kitulie kama maji ya kwenye mtungi, Mimi kilichonisaidia account nilikuwa nasoma kuelewa...
  12. karonga

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mkuu ulisomea degree business administration, masters business administration huoni kusoma cpa ni ngumu sana kwa mtu aliekuwa Hana concrete knowledge ya accounting? Maana hata Hao waliosoma accounting wanaiogopa cpa, mimi mwenyewe nilisomea tax management degree na masomo ya accounting na tax...
Back
Top Bottom