Search results

  1. M

    Magufuli azomewa Mwanza

    nitumie kwa namba 0755345251
  2. M

    Kauli mbiu mpya ya CHADEMA

    duh! Mwambie ahamasishe watoto wenzake wawahamasishe wazazi wao kwa kauli ya peoplez power then hamia chadema.
  3. M

    Kauli mbiu mpya ya CHADEMA

    peoplez power haita pitwa na wakati,napendekeza kipind hiki itumike hamia CHADEMA sbb mpaka mwez wa 9 mwaka huu tutashuhudia wengi sana wakihamia chadema.
  4. M

    Kauli mbiu mpya ya CHADEMA

    umeona ee!,hiyo imetulia.
  5. M

    Kauli mbiu mpya ya CHADEMA

    kaka umenifurahisha sana kwa hizo picha,na hiyo ndo hali halisi,peoples! Power!"
  6. M

    Kauli mbiu mpya ya CHADEMA

    ritz! Anaweweseka na movement of change, naona imewachanganya sana lazma mtakiona chamoto 2015,
  7. M

    Kauli mbiu mpya ya CHADEMA

    wewe peke yako ndo hutaki.
  8. M

    Kauli mbiu mpya ya CHADEMA

    duh! Hapo penyewe
  9. M

    Kauli mbiu mpya ya CHADEMA

    nimekusoma mkuu mawazo yako ninaimani yatafanyiwa kazi,ni katika suala la uboreshaji tu wa kauli ili ilete mvuto kwa wahusika.
  10. M

    Kauli mbiu mpya ya CHADEMA

    kweli mkuu
  11. M

    Kauli mbiu mpya ya CHADEMA

    Nimekusoma mkuu,lakini kwa kipind hiki ningependa waitumie hiyo sabab peoples power ni kauli ambayo itadumu daima.kwa kipind hik cha m4c watumie 'hamia CHADEMA.
  12. M

    Kauli mbiu mpya ya CHADEMA

    Habari wana jf,napendekeza kauli mpya hii waitumie chadema,ninaimani itavuta sana watu kutoka pande zote za nchi.napendekeza chadema watembee nchi nzima kueneza kauli hii mpaka vijijini huku wakifungua matawi kwa fujo ninaamini tutapata wanachama wengi sana.badala ya hamia airtel napendekeza iwe...
  13. M

    Birthday ya CCM Mwanza, Malori yaanza kumiminika

    Kweli CCM hawana chao mwanza,hadi wameamua kwenda vijijini kusomba watu vijijini toka jana mpaka leo nimeshuhudia malori km 200 na vigari vidogo vidogo kibao,kweli hali ni mbaya sana,nimesikia gunia 100 za mchele zimeletwa na lifuso,na ng'ombe km 70 zitachinjwa. My take kwanini hawa watu...
  14. M

    kwa wanao tafuta kazi zingatia

    Duh! Sante sana mkuu, bt je km ur fresh frm chuo na hujapata experiene na field hukuenda je? Kwny cv utaandika kitu gani sasa? Duh kila sehem experience experience wakati ht selikali haikutupa field cjui 2takua wagen wa nani! Au 2anzishe biashara tu? Mungu atusaidie na hii elim fake ya bongo
  15. M

    Ajali ya kutisha: Zaidi ya watu 40 wahofiwa poteza maisha!

    Nimeckia mda mfupi kutoka radio free kwny kipind cha darubini ya leo kuwa watu walikua km 65 na walookolewa ni km 15,walobak wote wameteketea kwa moto.polen sana wafiwa kwa msiba huu mkubwa,Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi amina.
  16. M

    Elections 2010 Wenje vp! Mbn simsikii igunga?

    Eti jaman wa2 wa igunga mpiganaji ezekiel wenje yupo huko? Au yupo wapi? Mbn cjamsikia kwny kampeni igunga?
  17. M

    Utafiti Synovate: Dk Slaa ang’ara urais

    Dk Slaa ang’ara urais Send to a friend Wednesday, 03 August 2011 23:11 1diggdiggNI IWAPO UCHAGUZI MKUU UNGEFANYIKA SASA ANGESHINDA. Leon Bahati MATOKEO ya utafiti uliofanywa na Taasisi ya Synovate yanaonyesha kwamba iwapo Rais Jakaya Kikwete angeamua kujiweka kando na ukaitishwa...
  18. M

    MDAHALO: Tundu Lissu vs Job Ndugai kama ilivyoonyeshwa na Star TV

    Wana jf nimeskiliza kwa makin sana mdahalo ulolushwa na star tv,bt kuna mambo kadhaa yalonifanya nimwite ndugai mnafiki km ifuatavyo:a)badala ya kujadili masuala ya kitaifa au mambo yalokua yanahitaj kujadiliwa matokeo yake kaanza kuingilia mambo ya chadema eti chadema msiwatishe madiwani,pia...
  19. M

    Kutoka Bungeni:CUF wajitoa Kambi ya Upinzani kwa mnadhimu kukosa sifa

    Cuf ni wapumbaf sana kwnz wao ndo waling'ang'aniza kuingia kwny kamb ya upinzan wakidhan wataua upinzan kupitia mkakat wao na magamba.bt wameona chadema na nccr wako moto wanadeclare kujitoa waondoke haraka sn wapumbaf wamezoea kugongwa na magamba wanafurahia,wanaudh sn ila mpaka...
Back
Top Bottom