cwt, iko mbali sana na matawi, halafu ukiwachanganya walimu wote kuanzia cheti hadi degree hawawezi kuiva pamoja;nashauri kamati za mgomo ziundwe kila wilaya
professional teachers hawagomi, wao furaha yao kubwa ni kufundisha watoto sio pesa. mkoba na timu yake ni ma-mediocre
kwani ile nyuma ya walimu waliyo jenga pale dsm ni ya nini?
Du! Bora obama apewe dunia atawale ataiweza halafu akina magamba wawe sungusungu. Obama akiamua anaweza kumaliza huu mtandao wa madwa ya kulevya kumbe. Keep it up obama, umestahili ile tuzo ya amani ya nobel. With thanks.
Ni siku ya3 wanafunzi wa education hawajapata maji. Kwani udom ni social na infomatics tu? Wadau naombeni muwaambie DOWASA chuo hakijafungwa chote. Au hawasomagi JF?
nape, umelaaniwa, na kizazi chako pia kitalaaniwa. ungejua wafanyakazi wa sekta ya uma wanavyoishi kwa tabu na hizo laki na30 kam kima cha chini ungenyamaza. nipigie bajeti ya matumizi ya mwezi ya ngazi ya mshahara ya chini, uniambie wanaishije. kwani wakienda dukani wao wana bei zao na wabunge...
Natural science pia hawaendi field na muda huu wako barabarani na mabango yao. Ilikuaje dean of faculty awape barua za kutafuta taasisi za kwenda kufanyia halafu waje wawageuke? Huu ni uzezeta! Hapo hadi kieleweke, kazeni buti wadogo zangu, haki ni yenu.
Acheni ujinga wa kushabikia udom vs udsm. Kuna matatizo ya kimsingi yakushughulikia. Mkimjibu zuzu kama huyu ni ujinga. Ni kama yule mtu alikua anaoga mtoni halafu kichaa akakwapua nguo zake halafu akaanza kumkimbiza uchi mtaani. Kati yao nani ataonekana kichaa?
du;;' kali, lakini tujiulize, nini chanzo cha nguvu zao, kwani shetani ana nguvu kuliko MUNGU? WAU WA MUNGU WAENDELEE KUMUAMINI MUNGU KWA MAFANIKI MAKUBWA.:smile-big:
suluhisho sio kuwafukuza wanafunzi, naomba wasikilizwe wataelewa. tatizo hawa maprof wetu wanajifanya bize sana. huo ni udhaifu,. kweli akili nyingi huondoa maarifa,
inamaana udom hakuna hata meneja mahusiano, angewasaidia kuficha hizi aibu.
kama akina kikula na mlacha wangefukuzwaga wao...
kikwete ni msanii, mbona bei zimepanda muda mrefu tena kwa aslimia mia, alikua wapi, aongeze mshahara lkn adhibiti mfumuko wa bei. halafu kuna suala la madeni, mbona sisi waalimu tumepandishwa vyeo halafu hatujalipwa hadi leo? nashauri cwt tulianzishe tena.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.