Udom imegeuka jangwa.

mwalimu.

Member
Apr 7, 2011
21
3
Ni siku ya3 wanafunzi wa education hawajapata maji. Kwani udom ni social na infomatics tu? Wadau naombeni muwaambie DOWASA chuo hakijafungwa chote. Au hawasomagi JF?
 
poleni kwa ukame wa maji walimu wenzangu.
inawezekana ni sehemu ya mafunzo kwani huku mtakakokuja ni pakame pia.
na bahati mbaya hatuna wa kumgomea.
 
nawasikitikia sana kizazi hiki cha wanafunzi wanaosoma Udom, wanapata taabu kubwa sana,,, ila Mungu yupo pamoja na ninyi, ipo siku vilio vyenu vyote vitasikiwa na haki yenu mtaipata,,, jana nashangaa sana kusikia taarifa kwamba wanafunzi waliomaliza undergraduate hapo hapo udom wakiapply 4 masterz hapohapo udom wanagoma kuwachukua, kisa hawakufanya field wakiwa undergraduates,,, sasa kama hapo hapo wanakataliwa, ni wapi watakapokubaliwa?? Hata uko makazini itakuaje bandugu?? Kilio kikubwa
 
Back
Top Bottom