Mimi ni mwanaume. Nina mpenzi wangu ambaye bado yupo chuo anasoma. Nimekuwa nikijitahidi kumsaidia mambo mengi sana pale hali yangu ya uchumi inaporuhusu. Hivi majuzi ilitokea huyu binti alipata tatizo la kutaka kuzuiwa kufanya mitihani kwa sababu alikuwa hajamaliza kulipa ada, hivyo akaniomba...
Watanzania wenzangu tusikubaliane na hizi siasa za kipuuzi na zisizokuwa na maana kwetu. Nasikitika sana kwa sababu kwa sasa nchi ipo kwenye matatizo makubwa ya kiuchumi na kijamii kama vile mfumuko wa bei, kushuka kwa thamani ya shilingi, migomo vyuo vikuu, ukata serikalini na maslahi duni kwa...
Siasa za kipuuzi kama hizi ndizo ambazo zimeitumbukiza nchi yetu kwenye matatizo makubwa ya kiuchumi na kijamii tuliyo nayo sasa. Viongozi hawafikirii mambo ya maana ya kuwaondoa Watanzania kwenye matatizo lukuki yanayolisumbua Taifa letu kwa sasa kama mfumuko wa bei, kushuka kwa thamani ya...
Nahisi wewe utakuwa ni kula kulala ndio maana huyajui matatizo ya nchi yako. Nasikitika kuwa hujui hata wajibu wa Kiongozi kwa Wananchi waliomchagua. Naomba nikuelimishe kuwa, hatuchagui Rais kwa ajili ya kununua mbuzi wa sikukuu. Tunachagua Rais ili asimamie ipasavyo uchumi na maendeleo ya nchi.
Wewe ni miongoni mwa watu wenye mawazo mgando ya udini. Wewe sio Great Thinker. Jamii forum hapakufai. Nenda kapeleke mawazo yako kwenye vijiwe vya kahawa.
Habari zenu wana JF? Hivi hii tabia ya serikali kuchelewesha mishahara ya watumishi wa umma inasababishwa na nini? Leo ni tarehe 2 lakini kila nikienda kwenye akaunti sikuti chochote. Au serikali yetu ndio inafilisika? Lakini mbona serikali imeweza kuwaongezea wabunge posho za vikao kwa...
Mimi ni mwanaume nina mpenzi wangu ambaye anapenda sana kutishia kuniacha kila inapotokea ugomvi kidogo tu. Mara nyingi nimekuwa nikijitahidi sana kuomba msamaha hata kama kosa ni la kwake, ili tu mambo yaishe tusonge mbele. Wiki moja iliyopita kama kawaida yake amenitishia kuniacha na...
Mimi ni mwanaume nina mpenzi wangu ambaye anapenda sana kutishia kuniacha kila inapotokea ugomvi kidogo tu. Mara nyingi nimekuwa nikijitahidi sana kuomba msamaha hata kama kosa ni la kwake, ili tu mambo yaishe tusonge mbele. Wiki moja iliyopita kama kawaida yake amenitishia kuniacha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.