Search results

  1. K

    Nyumba ya kupanga Mbeya mjini

    Wanajamii habari zenu, Namtafutia mdogo wangu nyumba ya kupanga Mkoani Mbeya iwe maeneo ya Sae, forest Iramba au Mjini yenye iwe self contained yenye chumba cha kulala, sebule, jiko na choo iwe kwenye hali nzuri ya usafi na iwe ndani ya fence. Naomba msaada
  2. K

    Natafuta mbao na Mabati

    natafuta mbao kwa ajili ya kuezekea nyumba yangu 2 *2 na 4*4 pamoja na mabati ya rangi kama ya vigae ambae ana bidhaa original atume bei fasta maana niko likizo kwa ajili ya kazi hii
  3. K

    whats up kwenye black berry phone

    Naomba wandugu mnisaidie hivi ukitaka whats up kwenye simu ya blackberry curve una install vip au unafanyaje maana nimehagaika sijafanikiwa
  4. K

    Tapbds

    HiVI mnajua inawezekana mfano elimu kwa wote hasa wasio na ajira waweze kujiajiri,wenyebiashara na wasionazo waweze kufanya vizuri elimu inawezekana jifunze uone fursa zilizopo bongo someni taarifa badala ya kuahangaika na application miaka nenda miaka rudi yaani mpaka unabadilika na unakua...
Back
Top Bottom