Search results

  1. Mgariga

    Spea ya isuzu 250 D inahitajika

    Picha inajieleza, mwenye hicho kifaa Tafadhali...tuwasiliane
  2. Mgariga

    UDART - kampuni iliyoshindwa au wamezoea kazi au haina uongozi makini

    Leo tarehe 18/10/2016 usafiri kwa kutumia mabasi ya mwendo kasi ni heri daladala mara elfu moja. unasubiri gari kwa saa moja kituoni wakati kwa daladala hata ijae kiasi gani itachukua dakika kadhaa inakuja kama ni kubanana sawa tu unasonga mbele. Hivi hao viongozi wa UDART mnajua mnalopaswa...
  3. Mgariga

    Kuhusu Dodoma Airport length 2.5km

    Wataalam wa aerodromes wanifahamishe kuwa hii sentensi inamaanisha nini hasa hapo red: ''Upanuzi wa uwanja wa ndege wa Dodoma unahusisha njia ya kuruka na kutua kwa ndege, yenye urefu wa kilometa 2.5 na mita 500 za taa za kuongozea ndege na usalama wa kuruka kwa ndege'' Je inasaidia nini...
  4. Mgariga

    Ninatafuta kitabu kinachoitwa ''operation thunderbolt'' kuhusu Entebe raid ya 1977 au kitabu

    Kama topic isemavyo, nahitaji kitabu hicho au movie yake, niko dar au kama kuna movie yake na iko madukani naihitaji thanks
  5. Mgariga

    Gharama za kuchimba kisima kirefu cha urefu wa metre 200 chini ya ardhi

    Wadau naomba kupata gharama za kuchimba kisima urefu wa metre 200. Je ni kampuni gani nzuri na bei zao na inachukua mda gani. eneo la kuchimba ni Arusha kwa Morombo na Kigamboni Dar es salaam. It is a serious business guys A very good night to you friends Kindest regards Mgariga
  6. Mgariga

    Msaaaaaada wa wataalamu wa kutengeneza kamera

    Wakuu wote salamu zenu jamani.... Nina Camera yangu aina ya Canon imepata Mushkeli kama ifuatavyo: 1. Niki-zoom ili kupiga picha ya mbali....inatoka nyeupeeeee hakuna image ikumbukwe hapo awali nilikuwa nazoom na napata picha nzuri na angavu kutoka mbali (x14 zoom) 2. Sasa hata nikwasha screen...
  7. Mgariga

    Jamani is there a slaughtering of animals act in tanzania?

    Wakuu salamu, je kuna sheria yoyote ya kuchinja wanyama au inayoelezea namna ya kuchinja Tanzania?
  8. Mgariga

    Ndio mfumo ama mazoea ila yanamwisho

    Wito wangu hapa kumezuka katabia wa kuomba wapenzi utadhani wapo serious kumbe matapeli wakubwa tena sijui washamba m2 hata humjui ushaanza kumbom mizinga mara mtoto anaumwa sijui bebiii sijasuka nina mwezi mara viatu vinanibana hivi kabla hujamjua huyo uliye mpata hapa jamiii ulikua huna chanzo...
  9. Mgariga

    Huu ni utapeli au ni kitu gani?

    Je ni utapeli au ni namaba gani hii jamani: +255901000000 imenipigia, hii sio kawaida jamani... Naomba msaada kwa ayejua ni namba gani hii?
  10. Mgariga

    Najisikia kuoa huku JF

    Sifa za mdada nimtakaye: = awe ana umri wa 29 backwards =elimu at least form four =Rangi yoyote ya asili yake =dini: mkristo =Kabila: lolote =Tabia njema ana mpenda ndugu zangu na nduguze kwa usawa. =asiwe mnene saana( umbo halijalishi) =afya: must be healthy =asiwe mtu anaye-complicate...
Back
Top Bottom