Kuhusu Dodoma Airport length 2.5km

Mgariga

Senior Member
Apr 1, 2011
178
62
Wataalam wa aerodromes wanifahamishe kuwa hii sentensi inamaanisha nini hasa hapo red:

''Upanuzi wa uwanja wa ndege wa Dodoma unahusisha njia ya kuruka na kutua kwa ndege, yenye urefu wa kilometa 2.5 na mita 500 za taa za kuongozea ndege na usalama wa kuruka kwa ndege'' Je inasaidia nini kuweka taa i hope anamaanisha za kwenye floor ya uwanja kuongozea ndege usiku only meter 500 kati ya 2.5km. Wakuu niambieni kama ina make sense hii, hapo highlited in red, asanteniiiiiiiio_O:rolleyes:;)
 
What I have understood though am not expert, lakini njia ya kuruka na kutua ndege kwa urefu wake wote ni 2.5km lakini taa zitakazowekwa ni mita 500 kwa sababu taa zinaweka kwa distance kutoka taa moja mpaka nyingine mpaka kuimaliza runway yote ila ukichukua hizo taa na ukizikutanisha kwa maana ya zero distance zitakupa umbali wa 500m tu lakini obviously ukizipanga kwa mbali mbali ziatweza ku cover runway yote.
 
wacha uwongo!
 
Hiyo 500m runway lighting kitaalam huitwa "Simple approach lighting system" huwa ina 500m
IMG_20161215_133926.png
 
Akazuba asante sana kumbe ni meter 500 ndo zina taa pande zoteee
 
Sasa 500 ni kwenye mustatili au kwenye msalaba huku mwanzoni? @ akazuba
 
Wataalam wa aerodromes wanifahamishe kuwa hii sentensi inamaanisha nini hasa hapo red:

''Upanuzi wa uwanja wa ndege wa Dodoma unahusisha njia ya kuruka na kutua kwa ndege, yenye urefu wa kilometa 2.5 na mita 500 za taa za kuongozea ndege na usalama wa kuruka kwa ndege'' Je inasaidia nini kuweka taa i hope anamaanisha za kwenye floor ya uwanja kuongozea ndege usiku only meter 500 kati ya 2.5km. Wakuu niambieni kama ina make sense hii, hapo highlited in red, asanteniiiiiiiio_O:rolleyes:;)
Inawezekana kuwa kuwa uwanja una taa kuanzaia kianzio cha kutua na taa hizo zinakoma baada ya mita 500.
 
asanteni. Hata kama uwanja ni mdogo ISSUE ni kuwa you can land at night
 
But nafikiri no lazima ndege zitue na kuruka upande huo mmoja wenye cross. Leo nimepata shulee
 
Mara nyingi kabla ya kujenga runway, wataalam kwanza hupitia takwimu za muelekeo wa upepo kwa kipindi cha miaka 10 na zaidi[Hupatikana TMA] muelekeo wa upepo ndiyo hasa huchangia ndege itue kwa kutumia runway ipi [ndege huruka na kutua ikipingana na muelekeo wa upepo]
 
@ akazuba ..in short kiwanja cha namna hiyo ni kidogo tunaita non instrument...

Hebu malizia hiyo non instrument..... Imekatikia au ile picha imekuwa super imposed kwenye maandishi ya mwisho. Nimeendelea kuelimika.
 
Back
Top Bottom