Search results

  1. K

    Nikki wa Pili unabonga

    jibu lake ni! kuzoea kuhemewa kisogoni na dawa yake acha mchezo huo
  2. K

    Uandaliwe mdahalo kati ya Warioba na Sitta

    Ni jambo lililo wazi kabisa kwa watanzania wengi ni wavivu sana kusoma, hivyo ni vigumu sana kwa wananchi kusoma na kuitolea maamuzi katiba pendekezwa, hivyo kutawafanya waitolee maamuzi ya kura kwa ushawishi wa kisiasa zaidi bila kujua ubora au ubaya wa katiba hiyo. Hivyo nimegundua...
  3. K

    Chamecha meku na mkyeku!

    Dogo kaolewa na mama wa miaka 52 dogo ana miaka 21 anasema amempenda kutokana na utajiri alio nao mama huyo na ndo maana akafikiria ugumu wa maisha ya sasa akaona bora niolewe tu, hata kama watu watanidharau na kunibeza hiyo haijalishi nitaolewa tu. Je? Wewe ungependa kumshauri nini dogo? Nini...
  4. K

    Natafuta mratibu wa shughuli za kibiashara.

    Sifa. Awe mhasibu aliyebobea, awe na uzoefu wa miaka 5 na kuendelea. Mshaara ni maelewano. Hii ni kwa wakaaji wa moshi tuu. Ni pm tafadhali
  5. K

    Natafuta fundi mzuri wa tiles

    Kama uko moshi na unajua kuweka tillies pia kama unajua upanzi wa maua wa kisasa ni pm tafadhali.
Back
Top Bottom