Search results

  1. O

    Babu loliondo Aacha wagonjwa kwenye mataa

    Baada ya babu kugundua wateja wake wanakunywa dawa na wanakufa kila sekunde wanakufa zaidi ya wagonjwa wawili akaaga kwenda kilio ya mtoto wake ,kumbe ni gear ya kwenda uingerezd
  2. O

    Watanzania tumevamiwa na adui shetani

    Wachungaji wa makanisa tuiombe tanzania imevamiwa manabi wa nguvu za giza ,cha kushangaza wanafanyakazi kwa bidi na matawi yao yamenza kusamba ususani tabora ,mbeya ,arusha na sehemu zingine nyingi ni sikitiko
  3. O

    Mabilioni ya Sweden ya umeme vijijini yako wapi?

    Hivi karibuni serikali ya Sweden ilitoa mabilioni ya fedha kwa serikali ya Tz kwa ajili ya umeme vijijini lakini mpaka sasa ni kimya tu! Ukosefu wa fedha ndio chanzo cha maendeleo kukwama lakini fedha tunazo sasa. Mbona hakuna utekelezaji mpaka sasa! Hizo fedha ziko wapi?
Back
Top Bottom