Search results

  1. Allymisi

    Natafuta mke!

    As alaykum.Naitwa Ally, ni mwalimu shule ya sekondari serikalini,umri ni miaka 25.Natafuta mke wa kumuoa Serious! Awe na sifa: *Muislamu Mchamungu *Asizidi miaka 22 *Awe amehifadhi Quran Tukufu kuanzia Juzuu 3... Inshaallah tutafunga ndoa ndani ya mwaka huu na Hatutaingiliana mpaka...
  2. Allymisi

    My Nokia 2700 classic

    Hello, Nitaweza kupata free download na kuinstall antivirus software ktk simu yangu NOKIA 2700 CLASSIC? Naomba msaada Wajameni!
  3. Allymisi

    Naomba nisaidieni!

    Habari ndugu! Kama kuna mtu ana jua namna ya kupata free download ya PDF AU ADOBE READER FOR MOBILE PHONE Naomba maelekezo.Simu yangu ni Orignal NOKIA 2700 CLASSIC, Nashindwa kusoma files zinazohitaji software hizo na nina shida nayo sana kuna materials yangu muhm sana ya kishule! NATANGULIZA...
Back
Top Bottom