Search results

  1. Asango

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nauliza Tanesco ni kweli kuna uhaba wa nguzo kwa mkoa wa Kilimanjaro has a Wilaya ya Hai maana kuna watu wamelipia toka January wanaambiwa hakuna nguzo pia sisi wa mwezi wa Tano majibu ni hayo hayo. kinachonishangaza hii huduma mlitakiwa mtusambazie umeme kadri watu wanavyolipia maana ni...
  2. Asango

    Msimamo wetu sisi CHADEMA asilia

    chadema asilia ni wale wa cameroon waruka ukuta wanaotaka kutuletea mgawanyiko hakika hamtaweza
  3. Asango

    Hivi Watangazaji wa Clouds FM wana shida gani?

    ila mmesahau hata makamba wakati akiwa mkuu wa mkoa aliwahi kusema watangazaji wa clouds ni wahuni.!!!??ni baada ya kusema jiji la dar linanuka!
  4. Asango

    Barua ya wazi kwa bwana Humphrey Polepole kuhusu uraia pacha Tanzania

    Kiukweli uraia pacha ni muhimu, nakumbuka nilipoenda uingereza niliwakuta Watanzania wengi sana wakiwemo ndugu zangu wawili wakisuffer na uraia wa uingereza . Kutokana na professional zao wameshindwa kujibainisha kuwa ni Watanzania .Pia kuna Watanzania wengi maishio China ni Madaktari ila...
  5. Asango

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    mi nilishahama cku nyingi, kwa sasa dada anakusanya fedha za kumsaidia kaka kwnye kampeni za kura ya maoni.
  6. Asango

    Nimenunua LUKU sh 1000/-

    mi nimenunua umeme wa 20elfu nikapata unit 52 iweje 7000 unit 53 hv huwa mnanunua umeme au?
  7. Asango

    Tanzania Teachers Professional Board Act

    ningekuwa najua kutuma attachment ingetuma baadh ya vpengele
  8. Asango

    Tanzania Teachers Professional Board Act

    shule za msingi na sekondari,pia ninayo hardcopy ya msuada huo.
  9. Asango

    Tanzania Teachers Professional Board Act

    Habari wa wana jf, Nimejitokeza hapa kwa mara nyngne maana kuna kipindi nilikuja hapa na hoja kwamba kuna mpango wa kuanzishwa kwa bodi ya kusimamia utaalamu wa walimu na vikao vya siri vinafanyika ili kuanzisha bodi hyo.Na uanzishwaji wa TTPB umeigwa Nigeria. Kikubwa hapa Bodi hii ni...
  10. Asango

    Tanzania teachers professional board act

    Habari wa wana jf, Nimejitokeza hapa kwa mara nyngne maana kuna kipindi nilikuja hapa na hoja kwamba kuna mpango wa kuanzishwa kwa bodi ya kusimamia utaalamu wa walimu na vikao vya siri vinafanyika ili kuanzisha bodi hyo.Na uanzishwaji wa TTPB umeigwa Nigeria. Kikubwa hapa Bodi hii ni nzuri...
  11. Asango

    Nimemaliza Degree ya Ualimu nataka niunge, je ni kozi gani nzuri niombe?

    Acha uongo mshahara wa degree (basic) 589400.
  12. Asango

    Magari ya RS kutoka Bukoba kwenda Dar ni hatari kwa abiria!!

    mohamed classic co trans, yote haya mabovu tu.
  13. Asango

    Kwa wale wazaliwa wa Tabora nawale waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

    urambo kubwa- nsenda,imalamakoye,usoke,usishia, nk
  14. Asango

    Kwa wale wazaliwa wa Tabora nawale waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

    ntunga,ntalali, kwa sana maeneo ya urambo,nsenda,imalamakoye,kasisi,wema,mwenge moto,mabatini,usoke,block q, nk
  15. Asango

    Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    nyie pigeni vigelegele hamjui ndo mwisho wa chama chenu? tunasubiri uchaguzi wa ndani ,najua hapo mmeelewa.
  16. Asango

    android ya bei rahisi!

    samsung pocket 160000
  17. Asango

    Waalimu mmesika hii kitu(TTPB. Act 2013)???

    Jambo lakusikitisha mwenyekiti wa Boadi hii atateuliwa na Rais mwenyewe na co wanachama Pia katika ngazi za uongozi wa Bodi watakaoruhusiwa kugombea ni wale tu waliofanya kazi kwa miaka kumi na tano na kuendelea.
  18. Asango

    Waalimu mmesika hii kitu(TTPB. Act 2013)???

    kwa maelezo ya kikao nilichohudhuria ni kwmb si hiari kujiunga ni lazima.. na walimu wote mtafanyiwa assessment ukionekana huna kiwango unarudi chuoni then ukirudi unaassessiwa tena ukionekana bado utapewa tena mwaka mmoja na hapo ikishindikana wanakuondoka kazini na wanatangaza kwny gazeti la...
  19. Asango

    walimu mtakomaa mwakaa huu!

    wanaita walimu wachache kimya kimya wanaandikishwa wanapewa msosi ndo imetoka hvyo.
Back
Top Bottom