Search results

  1. I

    Yanga kuikosa huduma ya Okwi

    OKWI MARUFUKU KUCHEZA YANGA HADI KESI YAKE YA FIFA NA ETOILE IPATIWE UFUMBUZI - BIN ZUBEIRY
  2. I

    Yanga kuikosa huduma ya Okwi

    yule mseamji wa fufa aliyekula kula hela za bin kleb na kusainisha fomu za okwi kinyemela ameshajiuzuru takribani wiki mbili zilizopita, nafikiri alisoma alama za nyakati!!
  3. I

    Help: I cant wash his underwear

    I am a newly-wed and I am already having problems with my husband, for the simple reason that I refuse to do things like washing his underwear, polishing his shoes and ironing his clothes. I believe he can do these tasks for himself since he is a grown man, but he insists that it is my duty as a...
  4. I

    Tetesi: CCM kukata rufaa kupinga matokeo ya uchaguzi wa madiwani mjini Arusha

    Nimepata taarifa kuwa Kikao cha dharura kilichoitishwa na viongozi wa chama cha mapinduzi kimeamuwa kukata rufaa mahakamani kupinga ushindi wa chadema katika uchaguzi wa madiwani mjini Arusha kama ifuatavyo " kata ya Themi Chadema 678 ccm 326, CUF 313. KIMANDOLU CHADEMA 2665, CCM 1169. KALOLENI...
  5. I

    Ladies: To me huyu ndio mwanaume wa ukweli

    From me to you.... Mwanaume waukweli hanaga MANENO MENGI,ANAONGEA MANENO MACHACHE,NA ANATENDA MAKUBWA KULIKO ALIYOSEMA...HAPROMISE SANA,ILA ANADELIVER MORE THAN HIS PROMISES.. Mwanaume waukweli hana MIKOGO,HANA MBWEMBWE,HANA SWAGGER KWAMBA YEYE NI FULANI NA ANA NINI,AU ANA HELA FULANI,KAMA...
  6. I

    Am very beautiful but cant keep a man for long

    asante kwa maneno ya busara....I will contact or PM you for more information! BE BLESSED
  7. I

    Am very beautiful but cant keep a man for long

    I have tried all that but all in vein, one even told me that my beauty will kill him, he thinks that there must a very big politician or a business man dating me! sijui kwanini people think that all beautiful girls date rich guys...siko hivyo jamani
  8. I

    Am very beautiful but cant keep a man for long

    nakwambia inbox unread msg zaidi ya 60..wengine wamenipa number...I gess I will call a few of them! nawashukuru kwa kunijali
  9. I

    Ludovick Joseph akamatwa na Polisi...

    ukiiangalia ile CLIP bila macho ya kichadema utagundua haina SHIDA KABISA, ile ni pure local recording! sauti za kuigwa zinakuwa na video effect ambazo ni rahisi sana kuziidentify! ebu chafya anazopiga,jinsi anavyojipangusa,anavyoangalia huku na huko na kupepesa macho, jinsi anavyoandika...
  10. I

    Am very beautiful but cant keep a man for long

    Hi Guys My Name is Cynthia. Iam a young beautiful woman and alot of men keep chasing me. But i have noticed a very worrying thing, i cant keep a man for more than 4 months. Every man who hooks up with me drops me after some time. Iam financially stable so i cant say iam a burden to them...
  11. I

    YESU amenipa kazi UN

    asanteni sana wapendwa wa Mungu
  12. I

    YESU amenipa kazi UN

    asanteni sana wadau,ukiomba kwa bidii YESU anatenda tena kwa haraka kuliko tunavyoamini
  13. I

    YESU amenipa kazi UN

    Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype...
  14. I

    Dr. Slaa, ukweli tunaokuambia ni huu, tunakuomba sasa uwe imara kuusimamia!

    mwandishi wa makala hii ni Slaa mwenyewe, afu anajifanya kuwa ni mtu anamuadress, watanzania sio wajinga kihivyo ndugu padre uchwara
  15. I

    Sijamwamini SLAA..

    HATIMAE SLAA AKIRI KUJIKOPESHA Nimeona katika habari kwamba katibu mkuu wa CHADEMA daktari Slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20. Lakin niseme kweli sijamwamini kwa kuwa ametumia muda mrefu sana kujibu tuhuma hii tofauti na kawaida yake ya...
  16. I

    Maneno yaliyotumika kuifundisha Sayansi miaka ile, tupia unalokumbuka

    Hamirojo (wanga)=cabonhydrate siyo protein
  17. I

    Maneno yaliyotumika kuifundisha Sayansi miaka ile, tupia unalokumbuka

    yabisi=solidi kiwambo seli= cell membrane umbijani= chrophyll(kama sijakosea) pia sayari zilijulikana kwa majina ya zebaki:mercury, zuhura:venus, mihiri, sumbula,utaridi etc.
  18. I

    Dr. Slaa avunja ukimya suala la Gesi Mtwara na vurugu nyingine zinazoendelea kwingineko nchini

    cheap popularity itakumaliza we padri, ulikuwa wapi miaka yote kulizungumzia hili....... yani nyie manendesha siasa kwa kutumia matukio aya bana, likiibuka lingine najua mtatoka huko na kulifuata! yani i hate you dr Slaa i wish you go to hell
Back
Top Bottom