dah. nimekusoma mkuu. ila chakula chao je vp lazima niwape vya dukan? kwa wiki 3 izi. nimewapa stater kwa sasa naweza kuwapa mchanganyiko wa pumba na mashudu? Asante
habari wakuu. mimi nimeanza na vijogoo 310. nanimala yng ya kwanza. wana wiki 1 sasa chakula ninacho wapa ni stater. naomba ushauri ktk swala hili la chakula niwapatie chakula kipi ili wawe bora zaid asanten
Habari zenu wanajamvi! Poleni na shughuli za ujenzi wa Taifa. 6¦6 Naombeni mchango katika hiki. Tsh120000, je! Inaweza kuzalisha Tsh1500, kwa siku? Kama haiwezi tafadhali naombeni mniambie kwanini! Na hatakama inaweza naombeni mniambie kivipi! Asante kwa ushirikiano.6¦6 Nawakilisha!


Usd faida yake ktk change haizidi xana sh 10. Sasa wewe kama mtu binafsi sio office unaweza vumilia upate 15000 kwa mtaji wa zaidi ya m10?
Inategemea na msiba umeuchukuliaje na hasa kama ndo mfiwa mkuu. Kama mtu kateseka sana mi nitaweka kigodoro ila kama ndo ghafla tu kigiza chama2lubai ndo pake!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.