Katika pita pita zangu kwenye maandiko matakatifu nilikutana na maneno Haya "Watu wale wajitakasao, na kujisafisha katika bustani, nyuma yake aliye katikati; wakila nyama ya nguruwe, na machukizo, na panya; watakoma pamoja, asema Bwana".
Isaya 66:17
Kama wewe ni Mcha Mungu, Nyama ya nguruwe Sio...
Kitabu cha maajabu,chabadili mtizamo wako wa maisha milele.
Jaribu kutafuta na kusoma STEP TO CHRIST au Ka-goole kwa tightle ,waweza kukisom mtandaoni.
Nimevutiwa na huduma zenu mnazotoa kwani mimi pia ni mdau wa muda mrefu katika masuala ya ufugaji.
Niko Tarime Mkoa wa Mara.Mnatufikiaje watu wa maeneo haya.
Namba yangu ya simu ni 0717400751.
E-mail: gillystrongest@gmail.com
Sio shida kwenda na brand new Master plan.Hiyo ilikuwa ni ndoto yangu kwa miaka mingi sana huko nyuma tangu nilipokuwa mtoto.Nilipotembea nchi za watu na nilipokuwa narudi Home bongo, nilikuwa nashindwa kuelewa n ikwa nini inashindikana kuiweka miji yetu katika mpango mzuri.Sio siri miji yetu...
Watu wa nje wanaifahamu Tanzania vizuri kuliko sisi tunavyo ifahamu.Huyo ni mtu tu anayeumia kwa jinsi ya uhalisia wa mambo na kwa jinsi alivyo yashuhudia kwa muda wa miaka minane alipokuwa hapa nchini.Nchi tajiri wananchi masikini Uiongozi dhaifu.Hata kiongozi wa nchi hajui kwa nini wtanzania...
Kawaulize wamarekani weusi watakupa majibu sahihi juu ya huo mtizamo wako binafsi,na wakati mwingine pia huwa ni ushamba wa kubabaikia warangi rangi kwa kuwa hujazoea kuwa nao katika mazingira yako ya kila siku.Labda ungeniambia wanawake wa Amerika ya kusini hao ndio wana mvuto wa kipekee wana...
Itv inaaminika kwa watanzania na inatazamwa kukiko tv station yeyote hapa tz,imekuwa mkombozi kwa wanyonge walioshindwa kupata coverage kwa kwa vyombo vinavyo endeshwa kwa kodi zao wenyewe.
Big up kwa itv!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.