Search results

  1. M

    Eti ni kweli wanawake wembamba wanapata mi..... kirahisi kuliko wanene??

    unene wakuzidi sana unaweza kusababisha mwanamke usizae.
  2. M

    Kwa wakubwa tu!!!!!!!!!!!!!!!

    Du! wewe umejua aina zote hizo za milio na umeshindwa kujua kama inauhusiano na msafiri au hamna?Ila nilishawahi sikia mingine ni usanii sio milio ya kweli.
  3. M

    Nimepotelewa na vyeti vyangu, Naweza kupata vingine?

    pole sana, hawatoi vingine zaidi ya statement of results, mimi yalinikuta hayo napata shida ninapohitaji matokeo maana hata hiyo statement of results inaweza kuchukua zaidi ya wiki 2 kuipata na hupewi wewe inatumwa inakohitajika kama kazini au shule na zaidi huruhusiwi kuwa nayo wewe kila...
  4. M

    Lengo langu si kukuchezea....

    Ndivyo kwa mabinti wengi, lakini hapo utatafuta laana tu, kwanini uibue mapenzi kwa mtu unaejua huna mpango nae. kanunue wanao jiuza.
  5. M

    Huyu mtu tupo pamoja?

    siku zote nilikuwa nafikiri kama unavyosema, na nilijali zaidi kuwa pamoja na tulee watoto pamoja, lakini siku zinavyozidi vituko vinaongezeka mfano ndo huo kila siku anaongea na huyo dada ambaye mwazo alinidanganya ni dada warafiki yake lakini kumbe aliwahi kuwa na mahusiano nae ambayo naamini...
  6. M

    Huyu mtu tupo pamoja?

    Samahani jamani inaonekana nimeandika kwa ufupi sana,ni ngumu kueleza kila kitu. ndugu zangu wanakuja ila hawafiki ninapoishi wanapiga simu tunakutana sehemu walipo,kaka zangu walishakataa siku nyingi kuja ninapoishi,mdogo wangu wakike ndo wanafahamiana zaidi maana alikuwa anasoma mkoa tunaoishi...
  7. M

    Huyu mtu tupo pamoja?

    nashindwa nimwite nani, ila nibwana tumezaa watoto 2,tunaishi pamoja mwaka wa 4 sasa. sikujui kwao hakujui kwetu naongea tu na ndugu zake kwenye simu, lini tutafunga ndoa anadai akipata hela wakati huo anmshahara takehome zaidi ya laki 8,nami pia ninamshahara wanguzaidi ya laki 4. zaidi kila...
Back
Top Bottom