Search results

  1. Fisadi Mkuu

    Igunga Special Photos

    Na hii hapa wanashangaa nini tehe tehe tehe maji ya shingo kwa magamba
  2. Fisadi Mkuu

    Freeman Mbowe na Mr.II Sugu wafanya kweli Iringa!

    Eh! Dume la Mbegu? Sjui hiyo mimba atapewa nani?
  3. Fisadi Mkuu

    Mabalozi CCM wanaswa wakiandikisha wapigakura

    Wali waliohonga CCM Igunga huu hapa
  4. Fisadi Mkuu

    Kilichonikera Miss Tanzania

    <br /> <br /> Mi ni mchaga na nipo ndani ya nyumba, labda ungesema wapare
  5. Fisadi Mkuu

    John Tendwa kwenye dk45 ITV

    Mbona anaongea kisharo baro sana?
  6. Fisadi Mkuu

    Kuna nini TCU mwaka huu

    Bado wanachuja ili wale wa CCM waweze kupewa first priority kwa hiyo wale wa vyama vingine hasa CDM waandike maumivu kwa kuwa wanaogopa kuwachagua wataenda kuandamana huko vyuoni
  7. Fisadi Mkuu

    Ndugai alipompiga mkwara Halima Mdee Bungeni Leo

    Home Profile Account Wall Info Friends Friends (7) Justina Shauri Dickson Bisile Frederick Majaliwa Markus Borner Janeth Abbu Thomas Didimu Elieka Saanya Report/block this person Message Job NdugaiAdd Friend Has worked at BungeStudied at University...
  8. Fisadi Mkuu

    Ndugai alipompiga mkwara Halima Mdee Bungeni Leo

    CV yake hii hapa. GENERAL Salutation Honourable Member picture First Name: Job Middle Name: Yustino Last Name: Ndugai Member Type: Constituency Member Constituent: Kongwa Political Party: CCM Office Location: P.O. Box 64, Kongwa - Dodoma Office Phone: +255 762 605 951/+255...
  9. Fisadi Mkuu

    Ndugai alipompiga mkwara Halima Mdee Bungeni Leo

    Yani huyu NDUNGAI namchukia kupita maelezo, anajiona yeye ndio yeye na anaona Tanzania nzima hakuna anejua sheria kama yeye.Huwa ana ubabe sana kwa wapinzani na ushabiki wa wazi wazi na usiokuwa na maana kwa CCM.Yani ni afadhali makinda kuliko huyu kibaraka anaejiskia na kujiona ni mbabe.Kuna...
  10. Fisadi Mkuu

    Mbunge alalamikia Dawa za kuongeza nguvu za kiume bungeni!!!

    Hiyo ya 12kg mbona ya kawaida sana?Angekutana na ya kwangu 20kg sijui ingekuwaje.
  11. Fisadi Mkuu

    Ushauri kuhusu mkopo wa gari

    Wewe inaonekana unafanya kazi serikalini,kwa kuwa serikali unaweza kuishi bila kutegemea mshahara (posho hazikosekani) mi nakushauri nunua gari ya maana na imara.Nunua RAV 4 old model utaitumia hadi uta-ejoy maana si gari inayosumbua na hata kwa bahati mbaya ikila mzinga haiumii sana tofauti na...
  12. Fisadi Mkuu

    Tundu Lisu kweli kiboko amchana Kikwete kuhusu kuingilia Idara ya Takukuru

    Kuna wale wanokuwa usingizini ila wakisikia tu wanaoafiki waseme NDIYO wanakurupuka unaskia NDIYOOOOOOOOOOOO bila hata kujua huyo ndio effect yake ni nini
  13. Fisadi Mkuu

    maumivu ya mishpa kat ya korodan na Kinena

    Eh!Asimamishe?Utazuiaje kusimamisha?
  14. Fisadi Mkuu

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Nyingine hii hapa,imetokea jana.Kila mwezi jamaa lazima watambike........ Ndugu , Habari za Uhakika toka Kasulu Basi la Sumry lililokuwa linatoka Kigoma kuelekea Arusha limepata ajali jana asubuhi na kuua huko kasulu.Habari ni confirmed kwa sababu mm mwenyewe nimepoteza jamaa...
Back
Top Bottom