Waymo is first to put fully self-driving cars on US roads without a safety driver
Andrew J. Hawkins
Waymo, the autonomous vehicle division of Alphabet, Google’s parent company, reached an important milestone recently: since mid-October, the company has been operating its autonomous minivans on...
Mnataka kuchafua majina ya watu bila ushahidi wowote humu,hiyo CPA inaonekana ulisoma kupasi mtihani tuu na hakuna kitu unajua ndio maana umekosa kazi, Bashite na Makonda ndio wana operate katika hii level ya niletee majina yao,next time tumia akili kutatua matatizo sio majungu
Washabikieni tuu hao kina kiduku na Iran ila wanachotafuta soon or later watakipata, billions kwenye useless missile huku wananchi wako njaa tupu,hawa watu ni hasara tupu
Sura, dini,background etc who cares wangewapa tu uraia yaishe ,watu wanajisahau binadamu tunapita tuu hapa na dunia haina mwenyewe hizo dini uislam, budha,ukristo etc zote ni man made na zenyewe zitabaki hapa hapa
Akili za matope hizi na una tofauti gani na hao wauaji, inaonekana mnasubiri siku mkisimama mtawafyeka wengine bila huruma,watu hajifunzi tuu udini, ukabila,ubaguzi etc mwisho wake ni kifo tuu mjifunze kuishi na wengine kwa amani hata kama hamfanani au hamuamini dini moja
US hana ujanja wa kuivamia North Korea ,anaweza lakini collateral damage itakuwa kubwa sana na anaweza asikute nchi aliyoivamia maana fatboy anaweza commit suicide na watu wake wote na kuacha sumu za nuclear for the next 500 yrs, Japan na Seoul nao hawatapona fatboy atawafuta kwenye ramani,na...
Not that easy mkuu labda miaka ya zamani, China ya sasa US lazima aongee nayo kwa adabu na makubaliano yanayoeleweka, Trump ni vitisho tuu vya danganya toto hana ujanja huo
Very good point, hawa wanajifanya miungu mtu na hawajali chochote kuhusu ile nchi,ardhi kibao si wakatafute huko kuliko kutumia taxpayer money kulipia compensation za kifala kama hizi, hizo billions zingefanya la maana kwa faida ya wote kuliko huu upuuzi
Interahamwe na wahutu wa siasa kali Kagame aliwashinda vita zamani sana rudini kwenu mkatumikie vifungo kwa mauaji mliyofanya sio kuleta propaganda za kichovu kugombanisha majirani ,wanaoamini uzi huu hawajui au ni supporter wa interahamwe
Yes ni good investment na sababu ina very low risk lakini usisahau kuwaambia JF hiyo faida ina TAX na inflation ya TZ inafanya hii biashara kuwa unpredictable na nimesikia corruption in bidding process is rampant big cats wana insider information ambazo zinawaweka in advantage na minimum...
Tatizo ni Seoul (South Korea capital city) ipo karibu sana na North Korea border,wataalam wanakuambia vitu vilivyotegeshwa pale vita ikianza within 30 minutes Seoul with 10 million people itakuwa majivu, hawana ujanja wa kumvamia fat bot na sababu ni hiyo
Kweli ujinga mzigo, akili za manzese hizi leo unamuona Trump your hero and not sure kama unawajua Republicans or Trump vizuri, nawaonea sana huruma watu weusi au wazungu maskini wanao support Republicans,jiulize kwanini most of the educated people don't support republicans? sometimes naunga...
Ogopa sana hawa wadini hawana tofauti na talebani, ISIS etc tofauti yao wapo upande mwingine (Christian) na serikali zao zina checks and balances system kuwadhibiti la sivyo kuna watu wangefanywa sub human humu
Habari za kizushi tuu , Satellite imetengenezwa na Japanese na imerushwa na Space X (US),private companies in US especially in telecommunications like AT&T,Verizon etc zinarusha thousands every year ,mkopo wa 50,000$ and Ghanaian students kuweka algorithms inputs zao hiyo nayo ni achievement...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.