Search results

  1. lion iron

    Nampenda mwanamke mwenye wivu sana kwenye mapenzi.

    Mimi ni mwanaume ninaependa kusikiliza mawazo ya watu tofauti na naeshimu mawazo ya watu .si vijana si wazee wanasema mwanamke mwenye vivu kwenye mapenzi c mtu wa kusaliti kwenye mapenzi.natafuta wa hivyo ili tuanze uchumba maana hata mimi nina wivu sana
  2. lion iron

    Nauza iPad air 6 ya Apple

    Kama kichwa cha habari hapo juu.rangi ni ya silver kama unahitaji ni pm au nitafute namba no 0762405614.
  3. lion iron

    Mke wa kaka ananitaka kimapenzi

    Poleni kwa majukumu wakuu. Kakangu ni mtu wa kusafiri nje ya nchi kwa ajili ya biashara zake.na ninakoishi mimi na kakangu ni kama mita 80.na sababu ya mimi kwenda kuishi pembeni kidogo na kakangu ni baada ya kumtambua tabia ya shemeji yangu kunitaka kimapenzi,sasa amekua na tabia yake ya...
  4. lion iron

    Nani mkubwa ndani ya mkoa kati ya rais na mkuu wa mkoa

    Nahitaji kumaliza ubishi mtaani,maana watu hawajui uongozi
  5. lion iron

    Raha ya kuwa single

    Hii ndiyo raha ya kuwa single, naamua ninachokitaka, narudi home muda ninaopenda na siulizwi na mtu. Nafanya ninachoweza siulizwi na mtu hata nisipokula home siulizwi nimekula wapi. Sasa wewe kama upo na msichana usiniige mimi maana lawama sipendi.
  6. lion iron

    Kwenda kusoma U.S.A

    Nasikia suala la kupata viza inasumbua,naomba anaejua jinsi ambavyo naweza kupata viza bila usumbufu ,anisaidia,au jinsi ya kupata wakala au wapiga debe (please kutumia hilo neno debe).kama atanisaidia nitalipa fadhila .Naomba anijibu humu humu au ani pm
  7. lion iron

    Hii ya kucheleweshwa kupata passport (hati ya kusafiri) imekaaje?

    Ni kama mwezi na siku kadhaa imepita, maana nilipewa mwezi mmoja kuwa itakuwa tayari na mimi naona kama nachelewa masomo na inakuaje nchi yangu Tz mambo yanakuwa hivi na hela nilishalipa na vipi nikirudi kudai hela yangu nitapewa? Na hapa tumlaumu nani?
  8. lion iron

    Ajali pale kipawa leo

    Poleni kwa majukumu ya kujenga uchumi.leo mida ya saa mbili asubuhi pale kipawa kuna ajali limetokea ,kuna kituo cha kupita kwa waenda kwa miguu.lililohusisha watembea kwa miguu,gari ndogo na costa.nikweli yule jamaa aliokuwa anaendesha gari ndogo alikuwa kwenye speed Ila alipofika pale...
  9. lion iron

    Natoa shahawa nyingi sana wakati wa tendo la ndoa

    Wakubwa nawasalimia. Mimi ni kijana wa kiume, nina miaka 25 bado sijaoa na sitarajii kuoa kwa sasa kwa sababu binafsi. Nikifanya ngono au tendo la ndoa huwa natoa manii nyingi sana kwa mahesabu ya harakaharaka naweza kujaza nusu ya ile condom na huwa natoa haraka nikihofia condom kupasuka...
  10. lion iron

    Natafuta kazi ya uuguzi popote Tanzania nimechoka kusubiri ajira

    Wakubwa shikamoni.mimi ni kijana wa miaka ishirini na tano (25) nimesomea uuguzi nurse (nurse midwife) .mpaka nimejitokeza humu ni pamoja na hali ngumi ya maisha.nina uzoefu pia wa kutosha maana kipindi niko chuo ckucheza na mda kwa hiyo mambo mengi nazijua.nitashukuru kama nitapata ,mbarikiwe sana
Back
Top Bottom