Kazi ya kupanga mishahara ya watumishi ni ngumu sana na inahitaji umakini mkubwa. Na serikali ya tanzania haina umakini kwenye swala hili. mtoa maada umeeleza vizuri japokuwa kuna mahali unachanganya mambo, mfano issue ya tutorial assistant wa vyuo kulipwa takehome 900,000. Hapa hakuna tatizo...
Mapenzi ya kweli lazima yawe na wivu. Kwahiyo kama mtu ana wivu na wewe ni ishara tosha kuwa anakupenda. Ila ni vema ukumbuke kuwa uhusiano wowote ule wa kimapenzi unaletwa na mawasiliano kati ya watu wawili. Kama unapigiwa simu na classmate au work mates ina maanisha mna mawasialiano ambayo...
ni vema ukaweka bei kuepuka lugha ambazo si nzuri. Mara zote mtu anayepangisha nyumba anasema bei na kuonyesha picha ila wateja waweze kufanya maamuzi sahihi.
Jamani tusiwe nyumba kwenye kuelewa maana ya elimu. Sio sahihi kila mtu kusoma udaktari wa binadamu au uhasibu. Kila kozi ina umuhimu wake kwenye jamii. kwa nchi zilioendelea kuna wanafunzie wanasoma BA Dance, MA Dance na hata PhD in Dance. Kuna watu wanasoma BA Music au cinema mpk level ya PhD...
hakuna ndoa hapo. ni bora muachane tu kama unapenda kuendelea kuishi. Fany maamuzi mazito kwa kutumia kichwa na sio moyo. Usipoachana naye atakuletea maradhi tu.
Hilo swala nimeliona kwenye vyombo vya habari pia. Ila kama bodi ya chuo inaweza kufukuza wahadhiri wote hao kwa mara moja inawezekana kuna tatizo mahali. kama ni uongozi wa chuo bado hayo matatizo yataendelea, kwa kuwa bado uongozi ulikuwepo unaendelea na kazi. Lakini kwa wahadhiri wenye sifa...
Kutrain lecturers mpaka level ya PhD sio mchezo, na inahitaji management yenye roho ngumu ya kulipa ada pamoja na peasa za research kwa ajili ya PhD. pia nadhani swala la kutrain lecturers mpaka PhD liwe jukumu la central government na sio vyuo yenyewe, maana ni gharama sana. Aliyekuwa mkuu wa...
cheni ki kitu cha kawaida kama una uwezo wa kuinunua. Kwa taratibu zetu za kiafrika hatupaswi kutoboa masikio au kuvaa miguuni. Ila shigoni au mkononi hakuna tatizo kabisa. mwingine anaweza kuvaa saa ya gold tupu na n.k. inategemea na uwezo wa mtu. wataanzania tutafute maada za kudiscuss ila hii...
Naungana na wewe mkuu. umetoa maelezo mazuri sana. kwakweli mtoa maana ameeleza juujuu sana. Pia swala la msingi umeliezea vizuri, kwamba hakuna mtu wa mfelisha mwanafunzi eti kwakuwa anamtaka. HIYO HAIPO KABISA. KAMA UTAKA KUFAULU NI KUJUA NONDO TU. MTU AKIFELI NI KWAMBA HAJUI. KWAHITYO USHAURI...
Sidhani kama vitisho vinasaidia. hapa amefanya jambo la msingi na lenye tija kwa taifa zima. sasa vitisho havisaidii, pia ninavyoelewa hawa watu wa lushoto, hawawezi kumfanya kitu.
Sidhani kama wanalazimishwa ngono. Unajua kuna wanafunzi wengi wapuuzi sana, hawataki kusoma alafu wanataka wafaulu tu. Unakuta mtu anaenda dinner masaa kibao akirudi analala, sasa huyo atafaulu vipi?Dawa ya kumkomesha lecturer anayetaka ngono ni kusoma tu, maana akikufelisha una appeal na...
Ndugu Maengo swala la kuomba ngono ili umsaidie mwanafunzi marks ni rushwa. sasa sidhani kama hapa jamii forum unaweza ukawa umesaidia kuondoa tatizo. Kama huyo mkuu wa idara ya social protection anafanya hivyo unapaswa uthibitishe hilo swala kwenye vyombo husika. Nadhani IFM kuna mkuu wa chuo...
Inabidi takukuru ishughulike na hili ambalo limeonekana kwanza. Ukisema mambo ya wizara nyingine ni kama unatopeza attentation. Hapa inabidi huyu bwana jairo awajibike na awe umfano wa kuiga.
Kwenye hii issue bwana Jairo hana jinsi ni yeye kujiuzulu mwenyewe. Unajua kila nafasi ina job descriptions zake. sasa huwezi andika barua ya kifasadi namna hiyo alfu eti ukaachwa. haiwezekani, kwanza takukuru hawajui kazi inakuaje mpaka sasahivi hawajamkamata? HAPO LAZIMA AACHIE NGAZI, HAMUWEZI...
Nadhani katiba haimruhusu waziri mkuu kumsimamisha kazi katibu mkuu. Ila kwa jinsi ishu ilivyo raisi inabidi amuondoe tu tu huyu bwana Jairo maana ishu yake imekaa vibaya sana kwa kweli. Na asipomuondoa atakuwa anajitakia balaa mwenyewe. pia waziri mkuu anaweza kuamua kuachia ngazi kama raisi...
Kwakweli hapa bwana Jairo amechemsha kwa 100%. Kosa alilofanya halina mjadala, inabidii aachie ngazi wala asisubiri kufukuzwa na huyo raisi. Inawezekana waziri mwenye dhamana alimuagiza kufanya hivyo ila alipaswa kufikiria vizuri kabla ya kutekeleza. Kwasasa hivi yeye ndio amekamatwa, hatuna...
Ushauri kwa wahusika. Hilo swala ni la ajabu na ukielezea kwa mtu yoyote anayejua sheria za kitaaluma atashangaa sana. kwa kawaida mtu akiwa amedisco hawezi kuendelea na masomo kwa namna yoyote ile. Ukiwa kama mwanafunzi ni vema ukasoma sheria za kitaaluma katika kaozi yako unayoifanya na chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.