Search results

  1. unique vee

    Naomba ushauri binamu yangu kamaliza kidato cha sita hajui achukue course gani?

    Habari zenu wapendwa.samahani nina binamu yangu kamaliza kidato cha sita mwaka huu alisomea HGL ambapo matokeo yake ya kidato cha sita alipata div 2.12 ambapo kila somo alipata D.Tunaomba ushauri n course gani nzuri na n chuo gani dar es salaam or popote ambapo inaweza kumpokea kwa matakeo yake...
  2. unique vee

    Naomba msaada wa namna ya kuwasha Jva Scipt

    naombeni msaada jinsi kuturn on java script kwa anaetumia android phone akitumia opera mini pia naombeni mnieleweshe hii java script ndio nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. unique vee

    TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

    TANZIA: MWANA JF MIGUU YA KUKU/ MPAUKO HATUNAE DUNIANI Kwa mujibu wa rafiki yake wa mitandaoni ni kuwa Mpauko / MIGUU YA KUKU alifariki tarehe 23 /01/2020. Chanzo cha kifo chake ni kujinyonga lakini hakuna taarifa ya sababu ya kujinyonga. Rafiki yake anasema alipotezana nae mtandaoni toka...
  4. unique vee

    Ndugu yangu anaomba kazi

    Habar wana jukwaa nimekuja katika jukwaa hili kwa mara ya pili nina ndugu yangu ni msichana wa miaka 23 elimu yake ni kidato cha nne pia kasomea ualimu wa chekechea na hotel management anaishi dar temeke anaomba kazi yoyote ile kuuza duka ,kufundisha chekechea au hata hotelin au yyte ile ila...
  5. unique vee

    Napenda sana kuwa model

    Habari wana jf napenda sana kuwa mwana mitindo(model)naombeni ushauri nianzie wapi ili niwe model? .
  6. unique vee

    m mgeni

    Habar wana jf
Back
Top Bottom